maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,286
- 15,533
Wakuu kama unakipaji cha kufanya stand up comedy au kuna mtu unamfahamu na ni mbunifu anaweza kufanya punchline kali basi niPM. Soon nakuja na hii kitu na tayari nimeshaweka miundombinu including kununua usafiri kwa ajili ya comedians kwa ajili ya kufanya show miji yote mikubwa, tayari director na producer wa vipindi vya show zetu ili kuruka kwenye tv kila wiki wapo tayari na soon mtaanza kuona kazi zetu.
Hii ni habari njema kwa wapenda live show za stand up comedy na haya ni mapinduzi, mtashuhudia vipaji vingi vikiibuliwa ambavyo vitaenda kimataifa.
Hii ni habari njema kwa wapenda live show za stand up comedy na haya ni mapinduzi, mtashuhudia vipaji vingi vikiibuliwa ambavyo vitaenda kimataifa.