Hakuna special thread

Hakuna special thread

Hapa nitaweka zile "hakuna zote zilizokubaliwa kisheria

1. Hakuna kuvaa majoho kwa wahitimu wasio kuwa na shahada....

2. Hakuna kupanda madaraja wala uhamisho kwa watumishi Wa uma mpaka hapo itakapotangazwa tena.


3. Hakuna nyongeza za mishahara..


4. Hakuna field kwa wanafunzi Wa mwaka Wa kwanza..


5. Hakuna chakula cha msaada..by the way hakuna njaa..


6. Hakuna kukariri darasa kwa form two watakofeli..

7. Hakuna ajira kwa walimu Wa Sanaa..

8. Hakuna katiba mpya..


9. Hakuna mikutano ya kisiasa...

10. Hakuna kurundikana kwa vyeo..

11. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!!

Naamini na wewe unaweza kutirirka hapa ukianzia na neno "hakuna"..
Uchochezi ooh sorry uchokozi mwingine bana!
 
Namba 10 ni uongo , Rais wa Tanzania pia ni Mwenyekiti wa ccm ( kofia mbili )
 
Back
Top Bottom