Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Me yang chaji ikifika asilimia kumi sim inazima...pia kamera kadiri siku zinavyosonga inakua kipofu na nikipunguza mwanga screen inakua ka binadamu anafumba fumba macho ivi
 
Simu za tecno kichomi sana.
Mi naiona kwa watu, kuwa na tecno bora niwe na simu ya button
 
NIlikuwa silijui hilo hadi pale nilipo badiri simu ndo nikatambua TECNO ni mwendo wa KINYONGA
 
Sijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Hongera kwa kujieleza haliyako ya uchumi.
Maana kumiliki Samsung ya 2016, 2017, 2018 si masihara.
Kuwa muwazi2 bishosti HUNA HELAAAAAAAAA
HUYOOOOOOOIII
 
Nawashukuru sana tecno maaana sio wameleta simu bali vifaa vya mawasiliano.
 
Hiyo ni ignorance of consumer kwetu sisi wachumi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…