Hakuna simu mbovu duniani kama tecno

Hii ilikuwa pale Posta, kulikuwa na ufunguzi wa duka la Tecno na mgeni rasmi alikuwa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi na endapo ukanunua simu yoyote unapewa zawadi.

Kulikuwa na wachina wengi sana ila cha kushangaza KATI YA HAO WACHINA AMBAO NDO MAAFISA WA TECNO SIKU HIYO HAKUNA HATA MMOJA ALIYEKUWA AKITUMIA TECNO, WOTE NI IPHONE NA SAMSUNG.

USHAHIDI HUU HAPA KWA BAADHI YAO.
 
Hahahahahahaha


Halaf wanauzia watu tecno
 
Nimeamini Iphone sio kitu ya mchezo jana nilikuwa nachemsha chai nimeweka simu kwny mfuko wa shati bahati mbaya wakat nmaipua chai naiweka chini simu ikatumbukia humo niduwaa kama sekunde 3 halaf nikaenda kuchukua kijiko nikaitoa simu inawaka fresh kama haijatumbukia kwny maji ya moto pamoja nilivyoitoa ilikuwa ya moto huwezi hata kuishika lkn kila kitu kinapiga kazi fresh.
 
mimi nilinunua mpya kabisa ila ilinifanyia kitu hamana na ilinikuta kipindi sina hata pesa ilikuwa ina zima mwanga na kuwaka na ina kuwa kama im changanyikiwa na ukizima ukiwasha ina kaa sawa ila mtu akipiga ina ananza ujinga wake mpaa leo sina hamu na tecno
 
Nina mashaka na RAM zake..
 
Nadhani jamaa alikushisha simu mbovu tu kwa kusudi,nimetumia tecno tofauti tofauti zina uwezo wa kukaa na charge vzr sana,hazistuck ovyo,tofauti ya samsung na tecno ni kwenye touch,samsung is very sensitivelly,,,mengine mbwembwe tu
 
Tecno Cx kavu na tecno phantom 6 ndio tecno bora pia c9 inaubora sana hzo nyngne kuna malalamiko mengi sana
Sijui,ila kuna jamaa yangu alikuwa na C9 ilikuwa ina stuck na kuzima aliamua kuifanyia factory reset ndio imekuwa suluhu otherwise hali ilikuwa mbaya kwa simu yake,nahisi hizi simu unapokuwa na application nyingi zinaelemewa,inawezekana kweli kama alivyosema j wara hapo juu kuwa chipsets zake ni majanga..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…