Tecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.Wewe umejaza app hiyo simu tena ram 1gb usiikashifu huwezi zitumia. Ukitumia simu angalia specs zake kwanza, processor speed na zipo core ngapi.
Wewe umejaza app na kila app inatafuna ram bado data zake zinakula storage, hujajaza personal files hapo. Unategemea nini kama siyo kuganda, hizo simu zipo poa ukiitumia kuendana na uwezo wake.
Serikali ya dhalimu ya magufuli yapaswa kukupeleka dodoma kama binadamu ambae umerukwa na akili.Mkuu jarbu na na tecno CX camon hii nihabari nuingine ni zaidi ya sumsung uzijuazo kwisha habari yako
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahaTecno ndio sababu ya kujaa post nyingi za ajabu kujaa humu
Asante Mkuu, umepiga penyewe.Tecno ni simu bora kwa makundi mawili tu
1.wenye kipato cha kawaida na cha chini.
2.wenye elimu ya kawaida kuhusu tenolojia,yaani wale ambao wanatazama vitu vichache tu mfano WhatsApp,Facebook,messages kupiga na kupokea pamoja na picha.
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaMm mwalimu nina Samsung A8 2017. Cha ajabu kuna jamaa jirani yangu ni mhasibu wa NHC anatumia tecno.
Mediatek hata Samsung Mediatek wanatumia Samsung (Samsung j7 max), walishasema kwa nini hawauzi kwao (kuna ushindani mkali, uwezo kiuchumi sio sawa na hukuTecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.
Hata kama hujaweka Apps nyingi, bado simu yaweza kukusumbua. Ni vyema watu wakanunua simu kutoka ktk makampuni ambayo yanaeleweka kuwa ni ya simu na sio hizi takataka. Kwao kwenyewe China Tecno haziuzwi, umejiuliza kwanini? Kitu kitengenezwe nchini kwako na bado kikakataliwa kuuzwa humohumo.
Kuna hizi Tecno Spark zinauzwa kwa 210,000 bei ya mwisho k/koo, unazifahamu? Hii simu ina feature ya Fingerprint scanner, sasa mkuu cha ajabu ukitaka kuregister kidole chako wanakwambia haina uhakika/ufanisi mzuri, hivyo chochote chaweza kutokea kuwa negative ktk mambo yote unayoweza kutumia kwa fingerprint.Tecno ni tecno tu
Tecno ipi mkuuNina tekno, nazani hii ya mwisho similiki tena tekno
Eti wameweka fingerprint na wao kama samsung, hiyo fingerprint ni aibu tupu mkuu.Tecno specifications zake hazina uhalisia
Sijui niseme ni nini, ni ubishi? Mahaba kwa Tecno ama ni nini? Mimi ndie niliyewaona wanatumia iphone, wewe unakataa, hujioni kama unataka ubishani usio na maana?Asilimia kubwa ya wachina wanatumia Fero/vinovo/huawei,sio rahis sana mchina kutumia iphone au samsung ni wachache sana,naifanya kaz hii ya simu nafanya na hawa watu na naenda kwao 4-5 kwa mwaka,so nawaelewa sana kuliko ww uliewaona posta
China kuna upinzani mkali, na Europe je?Mediatek hata Samsung Mediatek hata Samsung Mediatek wanatumia Samsung (Samsung j7 max), walishasema kwa nini hawauzi kwao (kuna ushindani mkali, uwezo kiuchumi sio sawa na huku
Acha usengeTeCno simu ya walimu
Muda mwingine uwe unaongea ulicho na uhakika nacho, tofautisha processor na chipset.Tecno ina Processor gani ya maana ama RAM, huwezi kucompare processor za mediatek na exynos na snadragon. Tecno ni simu ambazo zimetengenezwa kwa material ambayo ni duni.
Hata kama hujaweka Apps nyingi, bado simu yaweza kukusumbua. Ni vyema watu wakanunua simu kutoka ktk makampuni ambayo yanaeleweka kuwa ni ya simu na sio hizi takataka. Kwao kwenyewe China Tecno haziuzwi, umejiuliza kwanini? Kitu kitengenezwe nchini kwako na bado kikakataliwa kuuzwa humohumo.
Na power bankMpaka zama hizi bado unawaza chaji mkuu daah sasa umeme wa kazi gani
hahaaaaaa Bill walimu tumekukosea nn?TeCno simu ya walimu