Hakuna sehemu salama

Hakuna sehemu salama

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,960
Reaction score
2,945
Nimejaribu kutafakari jambo hili. Siku za nyuma huwa nilikuwa nasikia wanaume wakiongea kuhusu profession ambazo hawataki wake zao waende kuzifanya kuogopa watagegedewa wake zao.

Kwa mfano, jeshini, unesi, udaktari n.k. Hizi kazi zilikuwa zinadaiwa ni risk kwa sababu mwanamke anaondoka muda wowote hata usiku kwa majukumu ya kikazi. Ongezea hapo na usecretari.

Ila kwa mtazamo wanagu hakuna sehemu salama.Siku hizi ukifuatilia utaona kila sehemu watu wanachapiwa wake/wapenzi wao. Anzia kwenye ualimu, mashuleni wanafunzi, vyuoni, jeshini, usecretari, maofisini, jeshini, na popote pale.

Hata makanisani siku hizi watu wanachapiwa na wachungaji wao. Inabaki tuu falsafa kuwa kuchapiwa ni siri ya ndani. Hakuna sehemu salama tena linapokuja suaa a mapenzi, na usimwamini mtu yeyote wala taasisi yoyote.
 
ila usalama unatofautiana...unadhani wanavyokuchapia demu wako barmaid ni sawa na wanavyokuchapia demu wako mjeshi!
 
Yaani wewe badala ya kufikiria maisha unafikilia kugongewa tu
 
Na ukimuacha nyumbani kuna wauza genge...ma house boy na kadhalika ha haa haa
Hilo nalo neno Mkuu, bila uaminifu kwenye mapenzi kwa kweli hakuna sehemu salama, na si kwa wake tu hata waume pia.
 
Hayo maeneo yalikuwa salama kiasi kabla ya teknolojia ya simu,Siku hizi kila mahali ni shida simu zinerahisisha !Unatongozewa mke huku mmekaa pamoja.Hakafu nashangaa wanawake wanaotongozwa kwa simu (sms) hawakatai.!
 
Huo mfumo dume kusema mke mke. Wewe unapongonga unagonga mume wa mtu? Wewe una haki ya kugonga mke wa mtu wa kwako aachwe??? TIT 4 TAT
 
Malipo hapa hapa dunian tu uki chapia wa mwenzako nawe uta chapiwa tu.
 
Mimi nakubaliana na wewe ila nakushauri kitu kimoja. Ukiwa na mke usipende sana kumuwazia kuwa atagegedwa. La msingi fanya kazi kwa bidii familia ipate haki yao.

Barikiwa.
 
Back
Top Bottom