Hakuna sababu kurudiana na mpenzi

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Sidhani kuna sababu yoyote ya kurudiana na aliyekuwa mpenzi wako,haijalishi upendo wenu ulikuwa mzuri kwa kiwango gani ,kama kaondoka akirudi sidhani kama ile trust itakuwa kama awali.

Ni nafasi ya kukua na sioni badiliko litakalo tokea kama mlikaa kwa muda mrefu then mmoja akamsaliti mwenzake, kama uhusiano umevunjika ni bora kila mtu aanze maisha mapya tu ,kuliko kung'ang'ania mtu ambaye uliamini anakupenda na akakuumiza.

Hello is there reason to return to your Ex?
 
Kama nauona moyo wako,bila shaka yamekukuta....
Yawezekana kurudiana na mpenzi,wkt mwingine waweza kumuacha mtu aliekusaliti mara moja ukaenda kuanzisha uhusiano na mtu mwenye familia unadhani umekwepa nini? Pia waweza kumuacha mpenzi then ukaishi kwa mawazo na tabu ukaingia kwenye tabia za ajabu ili kuziba pengo lake kwanini uishi kwa karaha wakati unajua jibu ni yeye na kila siku anakuomba msamaha.
Fungua moyo toa another chance....
 
Mmh hawa ma ex bana are so unpredictable, unaweza ukaachana na mtu halafu baadae unakuja ku realise kuna vitu flani ulikuwa unavipata kwake na sasa huvipati na yeye hivyo hivyo, basi mkianza mawasiliano utasikia mara ooooo.....naku miss kinachofuatia hapo tehe tehe tehe......
 
Sidhani kuna sababu yoyote ya kurudiana na aliyekuwa mpenzi wako,haijalishi upendo wenu ulikuwa mzuri kwa kiwango gani ,kama kaondoka akirudi sidhani kama ile trust itakuwa kama awali.

Ni nafasi ya kukua na sioni badiliko litakalo tokea kama mlikaa kwa muda mrefu then mmoja akamsaliti mwenzake, kama uhusiano umevunjika ni bora kila mtu aanze maisha mapya tu ,kuliko kung'ang'ania mtu ambaye uliamini anakupenda na akakuumiza.

Hello is there reason to return to your Ex?

Mtazamo wangu zifuatazo ni sababu za kurudiana tokana na msimamo na maamuzi ya kila mmoja...

  1. Mmegundua kua kuachana ni mistake kubwa mlifanya na kugundua kua woote mlikua na makosa au alokua na makosa akakiri makosa yake.
  2. Wote mlipoachana mmekumbana na balaa zaidi - yaani wote mnagundua mmeruka majivu na kukanyaga moto.
  3. Kugundua kua mlipoachana mdada was pregnant hataki kutoa and you are both ready to start a family hoping it will work out.
  4. Memories you both shared ziwe good, bad, fun, horrible to you both still the most important and treasured ones, yaani mapenzi wapya washindwa kabisa kufuta impressions you left on each other.
  5. Bado you love each other na most importantly bado their is chemistry between you.
Na mengine ambayo wao wenyewe wanaorudiana wanajua...
 
  • Thanks
Reactions: BAK

ni sawa Dada Asha what if, its time to accept dispite the memories you shared! It wil never be like it was before,kutakua na kuumiza tena hata kama mmeamua yaishe,i think for the health of YOU SHOULD NOT WANT YOUR EX BACK everything happen for a reason!?
 
Hujanielewa rafiki.... hizo sababu nilizotoa ni sababu ambazo hua vigezo kwa wale ambao wanaachana tena wakarudiana... Personally sina Ex ambae naweza taka nirudiane nae... HAKUNA! Sio tu sababu nimeolewa, yaani ni design ambayo ningekaa single maisha yangu yoote but not kurudiana. Lakini hio haina maana kua watu hawaweza rudiana; inategemea vingi kama kwanini mliachana, uhusiano wenu ulikuaje, maelewano yalikua vipi, uhusiano wao ulikua mrefu kiasi gani... nina mifano wa watu ambao walitengana (sometimes hata 2 years) but wakarudiana and they are still together...
 
it okey i get you
 
Back
Top Bottom