Hakuna raha yoyote ya kuwa single

Single but taken au sioπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli ila muda mwingine the price unayotakiwa kulipa ili uendelee kuwepo kwenye mahusiano is a self destructing price. The best you can do is avoid it for self preservation.
 
Usijitetee mkuu chukua binti weka ndani ule mema ya Dunia Bahat nzuri mpaka wa 4 dini inaruhusu!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.

Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
upweke ni utumwa mbaya sana aise
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hakuna raha utakayoipata ukiwa huna mwenzako, Ila tu utajiandikia tiketi ya kuwa mpiga nyeto mashuhuri.

Ewe Kijana amka ukamtafute wa kufanana naye.
Hatujaumbiwa usingle ni kiburi tuπŸ˜‚
 
Huwa ni hivyohivyo,unapopata mtu humu unamuamini lakini kumbe amekuja kukuchora kukujua kiundani....then akufungulie thread au a reply comment yako vile ajisikiavyo....kuwa makini
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah nilijua nimepata dodo mshenzi yule kumbe nae ni dondora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…