Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna ndio maana nikasema kuwa "hakuna mzuri zaidi ya mkeo"..!!!!!!!

Unaona sasa? Kina Mentor wamesema mabazazi hatuji kwenye thread kama hii. Eti kulikuwa na sababu ya sie wenye wake zetu kuja? Huu uzi ni mahsusi kwa madogo wanaotaka kuoa.

Haya kawaambie wasirudie tena kutuzodoa. Mie nawahi jukwaa la wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
Unaona sasa? Kina Mentor wamesema mabazazi hatuji kwenye thread kama hii. Eti kulikuwa na sababu ya sie wenye wake zetu kuja? Huu uzi ni mahsusi kwa madogo wanaotaka kuoa.

Haya kawaambie wasirudie tena kutuzodoa. Mie nawahi jukwaa la wakubwa.

Huu uzi unawahusu wote wenye wake na wasiokuwa nao

Wale wanaoyafanya yaliyoelezwa kwenye mada na wale wasioyafanya ili wakae mbali nayo!!
 
Mkuu si uchangie??
Au bado hujaoa??

Mkuu nimeshaoa huu ni Mwaka Wa kumi Sasa na niko na watoto Watatu!

Na kutokana na Mimi kuzisoma hoja zenu tu maana yake ni kwamba Nakubaliana na hoja msingi!

Nitaweza kuchangia pale mambo yanapoweza kwenda kinyuma na mada! Lkn mpk saizi wachangiaji wengi wanaunga mkono hoja yako!

Mke wangu ni kila kitu kwangu Na Mimi ndo kila kitu kwake!

Niseme Jambo moja mkijenga msingi imara ktk ndoa kwa kwa kutekeleza dhana ya UPENDO KAMILIFU, ndoa itakua Paradise Na Km msingi Ukiwa mbovu ndoa itakua mateso na mzigo!

Asante sn Mkuu!
 
Mkuu nimeshaoa huu ni Mwaka Wa kumi Sasa na niko na watoto Watatu!

Na kutokana na Mimi kuzisoma hoja zenu tu maana yake ni kwamba Nakubaliana na hoja msingi!

Nitaweza kuchangia pale mambo yanapiweza kwenda kinyuma na mada! Lkn mpk saizi wachangiaji wengi wanaunga mkono hoja yako!

Mke wangu mfi kila kitu kwangu Na Mimi ndo kila kitu kwake!

Niseme Jambo moja mkijenga msingi imara ktk ndoa kwa kwa kutekeleza dhana ya UPENDO KAMILIFU, ndoa itakua Paradise Na Km msingi Ukiwa mbovu ndoa itakua mateso na mzigo!

Asante sn Mkuu!

Umenena vyema sana mkuu.......
Ubarikiwe ...........!!!!!!!!!
 
Huu uzi unawahusu wote wenye wake na wasiokuwa nao

Wale wanaoyafanya yaliyoelezwa kwenye mada na wale wasioyafanya ili wakae mbali nayo!!

Bahati mbaya sijaisoma mada. Mi title huwa inanitosha sana kuelewa mada inayozungumziwa. Labda title iwe na utata. Hii ya kwako iko straight kabisa.

Anyway, nadhani wamekuelewa.
 
Hata mie huona hakuna mzuri kama hubby wangu
 
Ni kweli ulivosema hakuna zaidi ya mkeo lakini wakti mwingine wanaume hukosea. Unakuta mtu kaoa yule ambaye si mkewe. Siku akigundua mkewe alipo ndo kasheshe inaanza na mwenye cheti. Mke si cheti.
 
kwani unafikiri kuwa ukiwa mwenye vigezo hivyo ndani ndio hautasifia huko nje?... laahasha ila inafikia kipindi uliynaye unamzoea hadi anakukifu na kingine kinachangia tabia ya mtu hatakama utaoa maraika kama unatabia hiyo unayo tu kubadilika ni ngumu:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Back
Top Bottom