Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Lakini niwaulize ndugu zangu ni nini sababu ya wanandoa kuanza kuchokana na kusalitiana mpk kufanya kuona wazuri wengine huko nje?
 
HAPPY NEW YEAR KWAKO!UBARIKIWE
Huwa nafurahi kuona tukikumbushana the positive side of relationships sio ubaya tu kila siku.
 
Haibiwi mtu hapa na Wachina ...
Uzuri wa 'GARI" ni injini na sio bodi??

.
..☆★★♡♡ haaaaa.....But u missed one point....BODY NDIO INAUZA GARI HATA NDEGE...then engines follow....huo ndio ukweli...hata uwe na papuchi nzuri vip
i BODY NDIO INASABABISHA PAPUCHI IFUATWE AU IUZIKE .... so body kwanza then papuchi & not vice versa....got it....!!!
 
.
..☆★★♡♡ haaaaa.....But u missed one point....BODY NDIO INAUZA GARI HATA NDEGE...then engines follow....huo ndio ukweli...hata uwe na papuchi nzuri vip
i BODY NDIO INASABABISHA PAPUCHI IFUATWE AU IUZIKE .... so body kwanza then papuchi & not vice versa....got it....!!!

"Wajinga" ndio wanaonunua gari kwa kuangalia bodi banaaaa!!!!!!!!!
Eti Ennie uzuri wa gari bodi au injini??
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe uwafikie wale wote waliooa, mkome kupepesa macho kwa vibinti vinavyokatisha mbele yenu.
Hata kwa ambaye haujaoa si una mpenzi wako uliyemchagua miongoni mwa wengi.....maana ukishindwa kumheshimu mpenzi wako huyo mkeo utamheshimu vip?
 
"Wajinga" ndio wanaonunua gari kwa kuangalia bodi banaaaa!!!!!!!!!
Eti Ennie uzuri wa gari bodi au injini??

.
... Anyway...I WILL TELL U THE OPEN TRUTH ABOUT 90%
of men of African origin.....

.: Extenal Body apperance ya mwanamke zinazo wadadisha wanaume wengi up to 90% ya waafrika ni...
..
a/ makalioooooo....mwanamke mwenye makalio yaliojazia jazia wastani hadi kuwa bubble butts hiv yanatingishika alafu walau awe na kiuno kidogo hapo
HATUNA UJANJA....rangi it depends...

.. b/ Boobs za wastani ila heri ziwe kubwa kidogo kuliko ndogo..

..c/ USO...wee...nyweleee weee...machooo..wee

..INTERNAL THINGS..

1: Awe msafiiii...hapa plus papuchii etc..

2..Heshima..adabu..na mwaminifuuu...ya ukweli

3. Asiwe na vitabia vya dot.com ktk ndoa...

==> So Engine ni baadae sana...is after female body attracted a man....tht is FIRST THING....APPEARANCE...NDIO KIVUTIO CHA KWANZA...sasa APPEARANCE YA PAPUCHI IS HIDDEN
how can u get attracted kwa usicho kijua...??

==> Ebu uwe na PAPUCHI NZURIIII alafu figureless au English figure hiv au flat bottoms kabisaaaaa uone PAMOJA NA ENGINE YAKO NZURI HUNA MARKET...hutakuwa sokoniiii kabisaaaa...byeeee
 
Last edited by a moderator:
Mkuundugu yangu Eiyer
Hili Neno Mkuu.
Back to Reality, Hebu tujadili ni kwanini Wanaume tunaongoza kwa ku Cheat
 
Last edited by a moderator:
Kila mwanamme angekuwa analitambua hili tungeepukana na mengi
 
Back
Top Bottom