Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Naunga mkono mada hii kwa sana tu. Mke wangu ndo kila kitu kwang na namin yeye ndo mzur na mtamu kuliko woooooote kwa kila jambo coz nilimchagua mwenyewe bila shurut na nkaridhika kwamba ananifaa kabisa. Nampenda sana mke wangu mpenzi
 
  • She is the one who decided to put up with all(ALL) your short comings and weaknesses forever
  • Umemkosea mara nyingi na amekusamehe na mko pamoja
  • Amewaacha wanaume wengine wote na anakuwaza wewe tu...Hata kama akilalamika unachelewa kufika nyumbani-(Imagine someone who wants to see you there na humpi chochote). Wakati kwengine kila mtu yuko busy na mambo yake
  • Big up kwa wives wote!!!

Cha kusikitisha wengi wenu hamthamini hayo yote. Nlisikitika majuzi kwenye daladala mkaka anamjibu mkewe ovyo. Kaulizwa yuko wapi anamjibu eti ' Niko mbinguni'! Ndo mana mnapataga laana za wake zenu afu mnadai eti wana mikosi!
 
Naunga mkono mada hii kwa sana tu. Mke wangu ndo kila kitu kwang na namin yeye ndo mzur na mtamu kuliko woooooote kwa kila jambo coz nilimchagua mwenyewe bila shurut na nkaridhika kwamba ananifaa kabisa. Nampenda sana mke wangu mpenzi

kila la heri kaka na ulichoandika
 
Ni kawaida kusikia Wanaume
makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya
wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati
mwingine hata kuingia majaribuni

Hili jambo la kumsifia mwanamke ambae umemuona siku moja tu ni kitendo
ambacho sikubaliani nacho hata kidogo,mwanamke ambae umemuona siku hiyo
tu na ukazuzuka na mguu au makalio tu sio sahihi kabisa

Sidhani kama ulikosea ulipomuona mkeo na najua unaikumbika sana siku ya
ndoa yenu
images
images

Huyu
ni mwanamke uliyemchagua kati ya wana wake zaidi ya Bil 3 walioko
duniani
Umemchagua akulelee wanao
Umemchagua akupikie chakula
Umemchagua akupe huduma zote tena katika maisha yako yete
Iweje uwaone wanawake wa mitaani kuwa ndio wazuri??
Unadhani unakuwa unamtendea haki mkeo kweli?

Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke mzuri kuliko mkeo dunia yote hii na
kutolea macho wanawake wapitaji tu kama hawa sio sahihi
images
images

Hao
ni wapitaji tu na hicho unachokidhania ni bora kiko kwa mkeo na ni bora
zaidi

Hakuna zaidi ya mkeoa na jaribu kumpenda na kumheshimu zaidi
Huyu ndie ubavu wako na hakuna kama yeye
images


Hebu
mpende mkeo na jisikie fahari kuwa nae bana ........!!!!!!!!

Umenena vema, umekosea sana pale uliposema, 'Unaikumbuka sana siku ile ya ndoa yenu'.
Btw, siku hizi ndoa ni fomalitis.
Wapo binadamu katikati ya ndoa wanawakumbuka wapenzi wao wa outside!
 
Eiyer Like like

wanaume kama vile wakienda restaurant pale wanapoagiza wakiona mwenzake kaagiza anaona kizuri kuliko alichoagiza yeye...
 
Last edited by a moderator:
Ur very right my dia...na deep down in their hearts wanajua hilo sema tamaa ndo zinawaangusha dhambini

You are the only lady who knows the truth. Kwa imani hii uliyonayo nyumba yako itasimama imara daima.
 
kwa uzi u shetan kichwa kinamuuma ni ujumbe mzito nawakuaribu kazi ya lucifer, kaka subiri baraka zako toka kwa Mungu,we need pple like u so that MMU can be used to change othes positivelly and not to enable lucifer destroy the world
 
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!

WAZURI TUPO BANAAA !!!!!!!! Kiuhalisia watu kibao mkeo HAGUSI LEVEL ZAO!!!!!!! Wengi wake zenu ni 5/10 na migume gume iliomshinda mtu ni 10/10 ikipungua sanaa ni 9/10. Nani anabisha? Unataka kusema Klyn hamkuti mke wa machache? PALEASEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! Dont be so dramatic.

The point is MKEO ANA INTERNAL BEAUTY na most of all ANAKUABUDU NA MAPUNGU YAKO LAKI 5000000000000000!!!!!!!!!!!! Kwako amefika bei. Ila sisi wa nje japo EXTERNALY tunamkimbiza mkeo mbayaaaaaaaaaa ila to us wewe kama wewe YOU MEAN NOTHING TO US! AND YOU WILL NER AMOUNT TO ANYTHING IN OUR LIVES THAN THE POWER OF YOUR WALLET!!!!!!!!! We dont give a damn about our health,your peace of mind or your moral levels. When was the last time small house ilikwambia uende CHURCH au kwa DR? Your wife tells u to go t church cause SHE IS WORRIED YOU WONT MAKE IT TO THE NEXT LIFE N SHE WILL BE SAD SINCE SHE WOULD MARRY U AGAIN IN THE NEXT LIFE. But small house doesnt give a f. how any days u last in this life.

The funny thing about most men THEY NEVER REALIZE HOW LUCKY THEY ARE!!!!!!!!! We mtu anakupenda janua to december, karizika na wewe kwa hali zote, she is proud of u n using your name. Ila wewe aaaah! Vya kunyonga huvitaki wataka vya kuchinja.

SOME TIMES TOO MUCH BLESSING AND LUCK GETS BORING!!!!!!!!!! Its when Bad news comes fun and interesting. We are always available to ENTERTAIN your Ego, but IT ALWAYS COSTS YOU MORE THAN MONEY!!!!!!!!

Most of time I agree with ur comments ila kwa mtu aliyeoa akija kwako kutaka uroda si maana yake kwamba anakupenda kuliko mkewe. Our wives have a lot of things and values which we will never get from U. Amini usiamini kuwa wanaume wanajuta sana baada ya kumaliza kupiga games za mchangani na kuwasaliti wake zao.

Mi nawashauri wanaume waliooa watulie na wake zao maana huko ndo kwenye mapenzi ya kweli tuachane na vishawishi vya shetani. Kwa upande wangu sijawahi na sitowahi kupenda mwanamke mwingine kimapenz zaidi ya mke wang ambaye kwangu ndo kila kitu na ananipa kila nachohitaji ktk anga za mapenzi na ninaridhika.

Nakusalimu lara 1
 
mlio oa mpo? mmeelewa? au ndo mnajifanya hamsikii lakuambiwa ..ila mtoa mada jaribu kulinganisha pande zote mbili sio unawabana wanaume tuu tu kwani hao vimada wanaotembea na waume za watu wengine wanaitwa ni wake za watu
 
Angekua anasikia nngemshukuru Mungu....
 
maana hali si hali ndoa NYINGI ni majanga kaka!

Nikweli ndoa nyingi ni majanga,lakini unadhani ni kitu gani kinafanya zinakuwa majanga?

Hiki nilichokisema hapa ni kimojawapo,vingine??
 
Lara 1 anasema kweli kabisa, siyo kweli kuwa mke wako nimzuri kuliko wanawake wengine , Ukweli ni kwamba ukioa unapaswa uridhike na mke wako na kuaminisha ubongo wako kuwa mkeo nimzuri kuliko wanawake wengine . kiukweli mkeo anaweza kuwa mzuri lakini hawezi kuwa mzuri kuliko wanawake wote duniani.
 
Most of time I agree with ur comments ila kwa mtu aliyeoa akija kwako kutaka uroda si maana yake kwamba anakupenda kuliko mkewe. Our wives have a lot of things and values which we will never get from U. Amini usiamini kuwa wanaume wanajuta sana baada ya kumaliza kupiga games za mchangani na kuwasaliti wake zao.

Mi nawashauri wanaume waliooa watulie na wake zao maana huko ndo kwenye mapenzi ya kweli tuachane na vishawishi vya shetani. Kwa upande wangu sijawahi na sitowahi kupenda mwanamke mwingine kimapenz zaidi ya mke wang ambaye kwangu ndo kila kitu na ananipa kila nachohitaji ktk anga za mapenzi na ninaridhika.

Nakusalimu lara 1

Kama Kweli....Ubarikiwe Kaka Yangu.....
 
Back
Top Bottom