Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Ukweli wa mambo ni tamaa tu inayotusumbua na si kingine maana kama mimi me wangu ni mzuri sana na ana kila sifa ya kuwa mke na hata ukimpeleka katika wife material yupo. Lakini cha ajabu bado nawagonga sana nje na kiukweli ni wachache unakuta wanakuwa katika level yake au kumzidi.

So,Why are you keep doing that insanity?
 
Uzi umeenda shule Eiyer...
Thank you madam .....
Ila kwa sasa nimeamua kuamia jukwaa la siasa...hili jukwaa kila siku zinavyosonga linazidi kuwa la stress ...full hasira kila nisomapo thread....
Pole sana madam
Siwezi badili tabia ya mtu mmoja mmoja....
Nobody can but we here to help people change and not change them
Nimeamua kujali yangu miye NK...maana najikuta wakati mwingine natoa povu kusema huyo alochiti mme wangu...maisha yenyewe mafupi nianze fikiria shida na tabia za watu nsowajua
Unaweza kulifanuya hilo bila kujiumiza madam
Unaweza kufikiria mambo hasi kwa uchanya
najua namna ya kumthibiti wa kwangu
Why?
Kwanini unamdhibiti?
Why don't you leave him be him?
kila mtu na abebe mzigo wake
May be but there is something we can do for them
Tunaweza kuwasaidia kuiona mizigo hiyo kuwa rahisi na sio kuwasaidia kuibeba
ngoja nianze kuchangia kwenye maendeleo ya taifa thru jukwaa linaloongelea issues za kitaifa...
Hata hapa unalisaidia taifa
Wenye taifa hilo wakiwa hawana utulivi kihisia tatizo linaongezeka
Maana hili jukwaa linatia mtu pressure bila sababu ya msingi
I doubt that .......!!!!!!
 
Eiyer I wish ningeweza kuacha najaribu sana kumuomba Mungu anisaidie niachane na hii kitu maana inaumiza watu wengine nami inanidrain pesa. Siko vibaya kimaisha lakini ningekuwa mbali zaidi
 
Ukweli ni kuwa Wazuri wapo kwani wanakuja breed mpya ila JIZUIE !!!!
 
Hata kama nageuka,does that change the truth?

unakitu kama hichi, unakutana na kama ulivyotupia hapo juu.. aiseee mi ntageuka tu na nitakubali nimezidiwa

bonge.jpg
 
Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia majaribuni

Hili jambo la kumsifia mwanamke ambae umemuona siku moja tu ni kitendo ambacho sikubaliani nacho hata kidogo,mwanamke ambae umemuona siku hiyo tu na ukazuzuka na mguu au makalio tu sio sahihi kabisa

Sidhani kama ulikosea ulipomuona mkeo na najua unaikumbika sana siku ya ndoa yenu
images
images

Huyu ni mwanamke uliyemchagua kati ya wana wake zaidi ya Bil 3 walioko duniani
Umemchagua akulelee wanao
Umemchagua akupikie chakula
Umemchagua akupe huduma zote tena katika maisha yako yete
Iweje uwaone wanawake wa mitaani kuwa ndio wazuri??
Unadhani unakuwa unamtendea haki mkeo kweli?

Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke mzuri kuliko mkeo dunia yote hii na kutolea macho wanawake wapitaji tu kama hawa sio sahihi
images
images

Hao ni wapitaji tu na hicho unachokidhania ni bora kiko kwa mkeo na ni bora zaidi

Hakuna zaidi ya mkeoa na jaribu kumpenda na kumheshimu zaidi
Huyu ndie ubavu wako na hakuna kama yeye
images


Hebu mpende mkeo na jisikie fahari kuwa nae bana ........!!!!!!!!
Hivi yule aliyeanzisha uzi wa Mungu ni fundi alimaanisha nini..????
 
Kwa mkeo unaweza kwenda na free pumbu mwezi mzima, ila huku pesa ndo gate pass. Huna nakutoa race kama Hussein Bolt kama sio relay.

ake zenu baadhi u ndo wanafaidi ila wengi MAJANGAAAAAAA! Nyumba ndogo hazipiki zinakuka dinner kwa reservation tu, mkeo anamaliza mkaa na gesi. KUKU WAKO MWENYEWE MANATI YA NINI.

Aisee you think like a man! Nashawishika kuhisi wewe ni dume! haiezekani mwanamke akawa na confidence kiasi hiki!
 
Na bigup kwa Maulana kwa kuumba wazuri zaidi na zaidi kila siku...

Aisee we mbona mharibifu? wao wanawasifia wake zao aafu weye unawaambia maulana anaumba wazuri zaidi!!!!!
 
Teh teh teh
Da sophy bana
Mbona comments zako zinawananga waliofunga ndoa (wenye vyeti)?

Limekutachi eeeh? Ndio hivo bibie tafuta mume usitafute cheti. Wapo waliopata vyeti pasipo mapenzi ya kweli kila siku vilio kiguu na njia kwene mashitaka sijui kwa mshenga sijui bakwata huko shida hazeshi. Wapo walopata mume mwenye mapenzi japo bila cheti mbona wanafurahije. Wapo wachache walobahatika kupata vyote mume mwene mapenzi na cheti chake juu. Hao wachache. Wengi ni wale wanogundua badae kuwa kumbe lo nimechemsha mwenzenu kumbe kile cheti na kicheni pati mbwembwe tu, kikubwa mapenzi. Ndio mana nawaasa walokuwa bado wasifanye makosa.Usiolewe kwa sababu tu eti na wewe ufanyiwe kicheni pati upakwe liwa afu usainishwe cheti na kuitwa Mrs nani sijui. Utajuta. Na kama kwa bahati mbaya ushakosea usiogope kutoka, maisha ndio hayo tu ulokuwa nayo ukiyachezea hakuna mengine, ya akhera ni siri ya Allah hakuna aloenda akarudi. Ya duniani yanakuhusu wewe ukiharibu juu yako.
 
Back
Top Bottom