Wapo wanaolitambua hili ...!!!!
Kwani nimesema tunaongoza ku cheat??
Ni kweli ulivosema hakuna zaidi ya mkeo lakini wakti mwingine wanaume hukosea. Unakuta mtu kaoa yule ambaye si mkewe. Siku akigundua mkewe alipo ndo kasheshe inaanza na mwenye cheti. Mke si cheti.
Ni wachache sana,wengi macho yapo juu juu
Kuna mtu kanambia umeniita. ni kweli au uzushi?
hugeuki ukikutana navyo???Najitoa fahamu kivipi nyie vijana??
neno hilo.....