Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Yaani baba Paroko umeona picha yangu ndio inastahili kukaa hapo kwa wapitaji?
Haya itoe upesi

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Unatafuta "dili" eehhhhh??

Wewe picha yako halisi hii hapa
images
 
Kila mtu anataka kuoa wife material cku hizi, sasa hiyo ishu ya kuwagroup wengine kama sio wife material inamaana wao wameumbwa wasiolewe?

Mtu hachaguliwi kuwa au kutokuwa wife material ila yeye mwenyewe na tabia zake ...!!!!!!!!
 
Umenena vema, umekosea sana pale uliposema, 'Unaikumbuka sana siku ile ya ndoa yenu'.
Btw, siku hizi ndoa ni fomalitis.
Wapo binadamu katikati ya ndoa wanawakumbuka wapenzi wao wa outside!

Siku ya ndoa unapoikumbuka inakuwa inakupa hisia na kukumbuka namna ulivyoapa mbala ya watu kuwa huyo ndie mkeo
Unakuwa unapata hisia na unaweza kuanza kumuona kama mpya tena!!
 
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!

WAZURI TUPO BANAAA !!!!!!!! Kiuhalisia watu kibao mkeo HAGUSI LEVEL ZAO!!!!!!! Wengi wake zenu ni 5/10 na migume gume iliomshinda mtu ni 10/10 ikipungua sanaa ni 9/10. Nani anabisha? Unataka kusema Klyn hamkuti mke wa machache? PALEASEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! Dont be so dramatic.

The point is MKEO ANA INTERNAL BEAUTY na most of all ANAKUABUDU NA MAPUNGU YAKO LAKI 5000000000000000!!!!!!!!!!!! Kwako amefika bei. Ila sisi wa nje japo EXTERNALY tunamkimbiza mkeo mbayaaaaaaaaaa ila to us wewe kama wewe YOU MEAN NOTHING TO US! AND YOU WILL NER AMOUNT TO ANYTHING IN OUR LIVES THAN THE POWER OF YOUR WALLET!!!!!!!!! We dont give a damn about our health,your peace of mind or your moral levels. When was the last time small house ilikwambia uende CHURCH au kwa DR? Your wife tells u to go t church cause SHE IS WORRIED YOU WONT MAKE IT TO THE NEXT LIFE N SHE WILL BE SAD SINCE SHE WOULD MARRY U AGAIN IN THE NEXT LIFE. But small house doesnt give a f. how any days u last in this life.

The funny thing about most men THEY NEVER REALIZE HOW LUCKY THEY ARE!!!!!!!!! We mtu anakupenda janua to december, karizika na wewe kwa hali zote, she is proud of u n using your name. Ila wewe aaaah! Vya kunyonga huvitaki wataka vya kuchinja.

SOME TIMES TOO MUCH BLESSING AND LUCK GETS BORING!!!!!!!!!! Its when Bad news comes fun and interesting. We are always available to ENTERTAIN your Ego, but IT ALWAYS COSTS YOU MORE THAN MONEY!!!!!!!!

yah wakati mwingine mnatusaidia sana kwa hizi post zenu BE BLESSED
 
Bora muwe mnakumbushana na masuala haya pia.....maana duh!!!!!

jamiif
Sio hivyo. Sema bora tuwe tunakumbushana. Wanawake wengine bana nao wanawatamani waume za watuuu. Mwanamke unamwangalia mume wa mwenzio kwa jicho la mla kungu. Mpaka mwanaume anajiuliza kama huyu ndivyo anavoangakiaga si atagongwa na gari. Mpaka jicho linakuwa kama umelala. Tubadilike. Jitahidi usinitie majaribuni dada ili tupone hili lidhambi.
 

asante Eiyer kwa kugusa kunako
hao wanaume wakodoaji kwa nini wasiwamake
wake zao wakawa kama wanavyotaka?hakuna
mwanamke mbaya duniani,mwanamke matunzo tu!!

Kweli kabisa bibie .........
Hebu tuache tabia za hovyo .....!!!!!!!!!
 
Eiyer... mke wangu kuwa mzuri hainiondoi ufahamu wa kutambua wazuri wengine. Kusema sio kutenda...

Kumsifia mtu ka sifa zinazomshushia heshima mkeo haikubaliki
Na hiki ndicho ninachokisema hapa..!!!!
 
Back
Top Bottom