Hakuna mwenye ubavu wa kumtongoza Dada Faizafoxy hapa JF

Hakuna mwenye ubavu wa kumtongoza Dada Faizafoxy hapa JF

Zali The boss Lady na utajili wote, analea watoto wa tano sasa, wote kazaa yeye.

Sembuse wauni wa humu JF, analiwa tu huyo kama kawa, tena unaweza kukuta bwana lake boya anafanya na kazi ya kulifundisha maisha na analipaga na hela ya kutumia.

Sent using Jamii Forums mobile app

= Zari
= utajiri
= analipa


Unafahamu maana ya "suriya"?
 
Ameshatongozwa hata mara elfu moja! Kukubali au kukataa ni maamuzi yake! ameshakwambia kuwa wanaume wangapi wameshampiga deki mpaka makinikia? Ameshakwambia kuwa mwanaume gani amemsugua mpaka akalia? Moyo wa mtu ni msitu, mtakatifu katika macho ya watu kwenye mwanga ndiye shetani katika kiza( Natilia mkazo sina maana kuwa# Faiza shetani).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti 'DADA'..!

Huyu ni BIBI...mpeni heshima yake, halafu kwa umri wake haya mambo mnayomhusisha nayo ni kumkosea adabu kabisa. Kuweni wastaarabu.
Na hili ndio la msingi zaidi, katika miongoni mwa watu ambao nawaheshimu sana Jf. ni huyu mama, sijawai kukutana nae ana kwa ana na wala sijawaza kukutana nae ana kwa ana, kwa kuwa tunakutana jamvini, tunaaachana jamvini, ila naamini ni mama mwenye busara zake mbali na umri kumtupa mkono, hivyo apewe heshima anayostahili.
Ingawa kwa sasa amekuwa na msimamo mkali katika dini mh. (Utani tu).
 
Dada Faiza eti kuna mwamba humu JF aliewahi kukutaka?
 
Back
Top Bottom