Hakuna mwenye ubavu wa kumtongoza Dada Faizafoxy hapa JF

Hakuna mwenye ubavu wa kumtongoza Dada Faizafoxy hapa JF

Wanaume wa dar huwa hawaogopi wanawake. Huyu anaweza kuwa
1.faiza foxy mwenyewe kwa ID nyingine anapima upepo

2. Kakijana tu hakajafungua shule kanapoteza poteza muda na kanaamini mtu anachoandika humu ndivyo alivyo


sorry wewe ni mwanaume wa Dar!?

Sent by Diaspora
 
Huyo ni bibi yako! Kufikiria kumtongoza bibi yako ni kukosa adabu kimaadili acha mawazo hayo.
 
Back
Top Bottom