Elections 2010 Hakuna mwanaume wa Arusha aliyepeleka posa nikamkataa - Batilda

MRUKA

New Member
Oct 12, 2010
2
0
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....
 
du, inachekesha sana, sasa anajisifia kwa vile wanaume wa Arusha hawakumtokea kumuoa au anasikitika hawakumpenda? Na huyo wa Zanzibar mbona hawako nae tena?
 
Maneno madogo tu hayo yanaweza kumponza wanaume wa Arusha wakapiga kura za chuki dhidi yake.
 
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....
hii kauli alishaisema sana

CHADEMA ---- VEMA
Peoples ---- Power
 
du, inachekesha sana, sasa anajisifia kwa vile wanaume wa Arusha hawakumtokea kumuoa au anasikitika hawakumpenda? Na huyo wa Zanzibar mbona hawako nae tena?

labda nae kageuka WA-ARUSHA teh teh teh teh :smile-big: :smile-big: :smile-big:
 
amewahi kujiuliza ni kiasi gani cha uzuri kinawadatisha wanaume wa Ar na je alikuwa na viwango kweli? kama ni hivi da mbona yuko hatarini kutemwa!
 
yaani huyu mwanamama sasa imetosha tumpe mapumziko baada ya huu uchaguzi....it is too disgusting to read such lousy stuff
 
huna nyeti yoyote kwa shem wangu

shem pole kwa matusi wanayokutakana waambie wazenji wanajua kupenda
 
Arusha ondoeni aibu za udini na ukabila. Mnamtukana huyo mama kwasababu tu kaolewa Zanzibar?

Ametoa statement hiyo kama majibu kwa watu wanaosema Kaolewa Zanzibar tena na mwanaume dini nyingine kwahiyo hafai.

Mkataeni kama hafai kuwa kiongozi lakini kuingiza udini na ukabila havitawasaidia kwa huko mbele. Leo mtamkataa huyo mama lakini kesho kutwa atakuwa mwanako anayekataliwa kwasababu hizo hizo na sijui mtajisikiaje?
 
hii kauli alishaisema sana

CHADEMA ---- VEMA
Peoples ---- Power

NAOMBENI NAMBA YAKE YA CM NIJARIBISHE BAHATI YANGU, Mie mpare wa Mwanga, si ndio hukohuko, naombeni hata namba ya Makamba nipeleke maombi yangu
 
Hivi Lowassa haishi Arusha? Au Monduli haiko Arusha? Oh sorry Lowassa ameoa kwa hio hawezi kupeleka posa!
 
Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi CCM ilyoishiwa sera na kuanza kuleta mambo ya mipasho na kuwaponda wanaume wa Arusha kuwa hawakumtokea alivyokuwa msichana ndio maana akaenda kuolewa zanzibar.
watu kama hawa hawatakiwi kabisa bungeni.
CHADEMA HOYEE....

chali yangu ile kitu hata bure sipigi aseee
 
Si mngempa jimbo huko mchambawima mbona mmerudisha kwa wasiompenda tena acha unafiki..

mwenyewe shem katoka kusaidia watu wa kwao na ni haki yake sisi mbona hatuna hiyana hata yule aliekua mbunge mkuranga sasa si yuko zanzibar kwahani au hujui?

halafu unafiki wa nn? kuwa wazanzibar hawajui kupenda? au ?
 
mmmh chalii wangu, vile vimiguu vyake walah hapewi m bara waachie wazenji walioona wamepata!
 
Ebu nipeni elimu ya lema, kuna mizee jana nilikutana nayo yanasema hawawezi kuongozwa na form six? Vijana ongezeni nguvuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kaaaaazi kweli kweli....!!! Ivi wale madent wake wa UDOM alotwambiaga wanamsapoti walijiandikishia wapi vile..????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom