" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

" Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuniacha..." Dida

ni wasiwasi sana na maneno yake, sio bure kuna kitu walio muoa walichokiona sio hivi hivi, Tumshauri atulizane!!!
 
nina wasiwasi sana na maneno yake, sio bure kuna kitu walio muoa walichokiona sio hivi hivi, Tumshauri atulizane!!!
 
kajichubua sana huyu dada .nakumbuka enzi hizo michezo ya kuigiza ITV alikuwa na rangi nzuri sana ila machunusi ndio yalikuwa mwakemwake .
 
Wanaume ni Intelligent wanastaili nyingi za kuacha.inawezekana wakati wandate mwanaume andhani huyo msichana ni so special wanapoanza kuishi anagungua kuwa yule msichana sio special ila anakuwa hataki kumuacha moja kwa moja ila anaamua kujenga mazingira yanayomfanya msichana ajisepeshe mwenyewe.therefore kuna uwezekano huwa anaachwa isaipokuwa hajajua kama huwa anaachwa
 
Vimeo vingine vya ajabu sana..! Kijitu kimetumika kotekote halafu kinatuletea story za udaku. Iko hivi videmu kama hivi huwa ni outing moja tu at a decent place na kanakutanulia miguu faster na baada kuliwa unakatafutia vijisababu ili kakupige chini halafu kesho kanatangaza kuwa kamekumwaga.
Yeuwiiiiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiiiii, kelwuwiiiiiiiikii
 
Hata mm sijawai kuachwa eti niachwe na mpenzi sijui ukute nalia? Never yaani nikiona hasomeki kimya na sign out akija kuuliza vip? Ahaaa kumbe bado wewe ume log in? Pole sana mm nimeamua kutulia.

Na mambo ya kuachana ni kwa wavulana/ wa kiume ila mwanaume sio rahisi.
 
Mapenzi fumbo la hiari lakini wakati mwingine balaaaa
 
huwa anaachwa, ila yeye ndie anaepayuka kuwa kawaacha,,, hawana haja ya kulimbana nae.......
 
Mara zote mwanaume huwa hatangazi kuacha, nakujengea tu mazingira mwisho wa siku unakuja kusema umeniacha halaf mimi ndo nakuwa sina muda na wewe, na hapo siku nikitaka kukukula nakukula vizuri tu bila kipingamizi. We never expose our thingz, utajitangaza umeniacha ila mi nakuwa nimekuweka kituo, siku nikitaka kujipoza, nakutafuta tu easily
 
Kuwacha wanaume sio sifa ya mwanamke,kumtuliza na ukawanae kwenye thick N thin mpaka mnazikana ndio uwanawake
nani kasema kasema kuwacha wanaume sifa au kuachwa sifa? hao anaowapata ndio size yake a real man anajua wapi na nani
akaoe kuna wanawake na kuna Copy ya wanawake ajiangalie yeye ana fit wapi...
 
[h=3]" HAKUNA MWANAUME MWENYE UBAVU WA KUNIACHA....."DIDA[/h]

MTANGAZAJI wa Redio Times FM, ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa, hajawahi kuachwa, mara nyingi huwaacha wanaume

Akiongea na mwandishi , Dida alisisitiza kuwa katika ndoa mbili alizopitia alishtuka mapema baada ya kuona maelewano na waume zake yanakwenda mrama, fasta akabwaga manyanga.

“Mimi sijawahi kuachwa, huwa nawaacha, unajua miye ni mtu ninayependa amani muda wote na sitaki kusumbuliwa katika maisha yangu,” alisema Dida.


Jamani ninawauliza swali je ni kweli anavyosema bibie Dida? Mnae mjuwa bibie Dida tupeni habari zake.
Kaongo hako, Mimi nakujua tangia kanakaa ubungo nhc nyumba ndogo
 
Huyu nae anasahau sana,kuna siku alishasema aliachwa Winn Mandela itakuwa yeye....Leo tena anasema hajawahi kuachwa,aya bhana
 
Hahhaha anadanganya ni vile tu waume zake waliopita ni wastaarabu sio watu wakupenda kick!...ila mara zote anaachwa kwa tabia zake mbovu,na ameachwa kwa talaka mara zote...
 
Back
Top Bottom