Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.
Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.
tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa HAHAHAHAHA
 
ukiona mtu povu linamtoka hivo ujue ndo basi tena kashaliwa!! hahahahahahahahaa... vumilia tu miss manake hata ukibweka leo, kesho utahongwa na utagegedwa tena!! so no way cha kufanya adapt tu migegedo maisha yaendelee..... cheers to all men
 
Nataka nikugegede, nipe demands zako please!...... i mean what demands should i meet?
 
Bikira huna walitoa tangu upo shule ya msingi unabana bana nini sasa, toa kwa faida usijutie ila kama unaliwa burebure tatizo hilo.
 
Lazima nikutafute kwa nguvu zote nikutoe huko chaputa. Mtoto kama wewe kwanini uwe hivyo. Njoo inbox basi tuyajenge.
 
Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.
Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.
tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
Unafurahisha kinoma yan
 
Sasa Ulitegemea tumepewa vikojoleo vya kutembelea .

Mpango wetu ule ule tunza bikra tukafaidi mbinguni.
Katika watu niliokuwa nawakubali kwenye kuchangia point humu JF ww ni mmoja wapo Big up mkuu
 
na hakuna mwanamke asiependa kibamia......kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom