Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Gari halitaki mafuta, linahitaji mafuta. bila mafuta gari haliendi. Mwanaume hatakinsex anahitaji sex.
hii ndo sababu mwanaume hana mzunguko wa mwezi. siku yeyote saa yeyote yuko tayari.
ni baadhi tu ya maneno yanayopatikana katika semina/mafundisho haya. je unayaonaje? je unadhani yuko sahihi?

 
Mapenzi hayana formula kila mmoja ana yake...
[HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Kweli kabisa mwanaume muda wote tupo ready kwa sex. Mwanamke anasiku zake hua anahitaji hasa yai likiwa limepevuka.
MUNGU katutunuku wanaume kitu kizuri sana
 
Back
Top Bottom