johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Chadema wamemshambulia wapi msukuma au unaweweseka kutaka kuhamisha magoli.Ni kweli ,ukitaka kujua hilo ona musukuma alivyotetea kuhusu kuhamishwa kwa machinga alivyoshambuliwa na chadema pamoja na ccm kwa ujumla.
Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu.
Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo.
Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali iwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Naona unajitoa ufahamu tuu.Chadema wamemshambulia wapi msukuma au unaweweseka kutaka kuhamisha magoli.
Wamesema MJIAJIRI sasa unataka AJIRA GANISiyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu.
Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo.
Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali iwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Siyo CCM wala Upinzani hakuna mwanasiasa anayezungumzia tatizo kubwa la ajira linaloikabili nchi yetu.
Wanasiasa wengi wamejikita kwenye kutoa misaada myepesi kwa wananchi kama vile kujenga matundu ya vyoo na kugawia watoto wa kike taulo.
Tatizo la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka, serikali iwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee unajua bei ya mbolea?Utambiwa nenda kalime
Ova