Hakuna mwanasiasa anazungumzia tatizo la ajira Tanzania, wengi wamejikita kutoa misaada ya matundu ya vyoo na taulo za kike

Walisema watatengeneza ajira 8m. Bahati mbaya kuna watu waliamini.
Wangetaka kutengeneza wangeweza tena hata kuajiri watu wote kasoro watoto inawezeka, ile sera ya viwanda ingehamishiwa vijijini kujengwa viwanda watu wote wangepata kazi sasa sijui Tanzania ya viwanda iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom