Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

Mama ni mama hta iwe vp!kwanza wanawake mlio na watoto nadhan uchungu mnaujua.ebu fikiria hcho ktu thn mwsho wa cku mtoto anakudharau,ofcoz tumuombe Mungu awacmamie watoto wetu.huyo mama alikufa kwa huzuni sna,wkt watoto ni furaha na faraja toka kwa Mungu.
 
Mmm lol. najisikia kulia nina muda sijaweza kutuma kitu kwa mama. kweli maisha yamenitaiti. tujitahidi wakuu.
 
Thanks umenipa somo tamu sana sijawah kumchukia mama ila hili somo linaniongezea mapenz na mama yangu. Tuwapende mama zetu!
 
Mamndenyi, akina mama hata uwatumie kanga ya elfu 3 wanafurahi tu.

Sio lazima kitu kikuubwa, akija hata kwako akapumzika mara moja unamtoa out hata kama ni koko bichi unamuongezea siku za kuishi.

Mmm lol. najisikia kulia nina muda sijaweza kutuma kitu kwa mama. kweli maisha yamenitaiti. tujitahidi wakuu.
 
Last edited by a moderator:
dah mkuu ume2gusa wengi,Mungu na a2saidie 2wapende na kuwajali wazazi we2 hasa mama ze2
 
Speaker Du hadi machozi yananitoka kesho asubuhi namfuata Mama yangu nampa Shikamoo nyingi na salamu zako
 
ujumbe umefika,bali najiuliza jicho la mtu mzima kuwekewa mtoto mdogo huo niuongo usiofanana na ukweli...!
 
Hadithi ya zamani sana hii!!

Cha ajabu kila inaposimuliwaq inaonekana kua watu inakuwa ndiyo mara yao ya kwanza kuisikia!!!

Mie alinisimulia mama yangu mwaka1988 kwa mara ya kwanza!!!
 
Wana JF.
Mkasa huu haunihusu mimi kwa namna yoyote ile.
Nime upata toka kwa mtu aliye kua akitoa ushuhuda na ulinitoa machozi sana.
Soma mwenyewe.

527501_10150736141294504_666929503_8827302_420595649_n.jpg

###############....MWANZO....######################################

Hakukuwa na mwanamke ambaye nilikuwa simpendi
kama mama yangu.

Yeye alikuwa masikini wa kutupwa huku uso wake ukiwa unatisha
kwa kuwa tu hakuwa na jicho moja.
Kila nilipokuwa nikimuona nilikuwa nikimkasirikia sana.
Alikuwa akijaribu kunionyesha mapenzi kama mtoto wake lakini
kwangu sikuwa nikitaka kumuona kabisa.

Kuna siku nilikaa nae chini na kumwambia kwamba
nilitamani sana kuwa na furaha katika maisha, akaniuliza kitu gani
kifanyike ili niwe na furaha, kiukweli nikamwambia kwamba kama
angekufa muda huo, hakika ningefurai milele.

Nikafanikiwa kusoma chuo na kwenda nchini Afrika Kusini
kusomea sheria, nilifurahi sana. Sikutaka kurudi nyumbani,
nikaoa huko huko na kupata watoto.

Katika maisha yangu yote hayo hakika sikumkumbuka kabisa mama
yangu, nilikuwa nikitamani sana afe ili niwe na furaha.

Nikafanikiwa kupata watoto wawili huku nikiwa nimejenga
nyumba ya kifaari na kuwa na utajiri mkubwa.

Kuna siku nikasikia mlango ukigongwa, watoto wangu wakaenda
kuufungua mlango, ALIKUWA NI MAMA YANGU amekuja
kunitembelea.

Watoto wangu wakaanza kulia kwani
walikuwa wakimuogopa sana mama yangu kutokana na hali
ya kukosa jicho aliyokuwa nayo, nikaamua kwenda
mlangoni, nilipomuona, alifikiri ningetabasamu, nikamfokea
kwa haira sana
"TOKA NYUMBANI KWANGU KINYAGO
WEWE UNAWATISHA WATOTO
WANGU
".

Kwa sauti iliyojaa upole, mama yangu akaniambia
"SAMAHANI BABA. NAFIKIRI NITAKUWA NIMEKOSEA NJIA" hapo hapo akaondoka.
Nikafanikiwa kutembelea nchini Tanzania, na moja kwa
moja nikaanza kwenda kwenye nyumba ile tuliyokuwa
tunakaa.

Majirani zangu wakaniambia kuwa mama yangu alikuwa amefariki kwa
kuwa tundu la jicho lake lilikuwa limeharibu hadi mishipa ya fahamu,

WALA SIKUHUZUNIKA KABISA ZAIDI YA KUTABASAMU. Hapo ndipo
waliponiletea barua ambayo aliiandika mama yangu na kunipa.
Barua ile ilikuwa imeandikwa hivi.

Mwanangu mpendwa.
Najua kwamba katika maisha yako ulikuwa ukinichukia sana
ila amini kwamba nilikuwa nikikupenda sana.
Ulipokuwa mtoto ulipata ajali, jicho lako likapasuka ila kwa kuwa
nilikuwa sitaki uishi maisha ya kuwa na jicho moja, nikaamua
kutoa jicho langu na kuwekewa wewe ili tu uweze
kuuona ulimwengu kwa macho yote mawili.

Sikutaka kujali ningepata matatizo gani lakini
niliamini kwamba wewe ndiye ungekuwa furaha yangu hasa
kila nitakapokuona unauangalia ulimwengu huu huku ukitumia jicho langu moja.
Mimi mama yako Mpendwa....

###########.....MWISHO...########################

Labda kwa namna moja ama nyingine ume waacha wazazi wako kijijini
wakiteseka huku wewe ukila maisha matamu mjini.
Unajua walitoa upendo kiasi gani kwako kukusaidia kufika hapo ulipo fikia?
Labda hawakukusaidia,....lakini unadhani kuwachunia ni adhabu inayo faaa kabisa?

Mungu na akufungue ufahamu wako,UITAMBUE AMRI YAKE PEKEE YENYE AHADI,....uwapende
na kuwaheshimu baba na mama yako ili upate heri na miaka mingi duniani.

God bless you.

shule nzuri sana mkuuu
 
Lakini imekuwa exaggerated vilivyo! Bibi yangu mzaa baba alikuwa na jicho moja. Tuliambiwa aliumia shambani zamani. Tulimpenda na hatukumuogopa, tuliona beyond kuwa ana jicho moja. Tulimuona mwanamke jasiri, aliyelea watoto 9 single-handedly baada ya mume wake kufariki wakati baba yangu ana miaka 5 hivi (he is the last born).
Ingawa alifariki nikiwa std 4, tukiwa watoto wa mjini ambao tulimuona krismas tu, tulisikitika! Nilipewa kilemba cha kichwa, sikukivaa kwa sababu ya kuogopa mtu aliekufa na sio kwa sababu ya jicho!
 
Wana JF.
Mkasa huu haunihusu mimi kwa namna yoyote ile.
Nime upata toka kwa mtu aliye kua akitoa ushuhuda na ulinitoa machozi sana.
Soma mwenyewe.

527501_10150736141294504_666929503_8827302_420595649_n.jpg

###############....MWANZO....######################################

Hakukuwa na mwanamke ambaye nilikuwa simpendi
kama mama yangu.

Yeye alikuwa masikini wa kutupwa huku uso wake ukiwa unatisha
kwa kuwa tu hakuwa na jicho moja.
Kila nilipokuwa nikimuona nilikuwa nikimkasirikia sana.
Alikuwa akijaribu kunionyesha mapenzi kama mtoto wake lakini
kwangu sikuwa nikitaka kumuona kabisa.

Kuna siku nilikaa nae chini na kumwambia kwamba
nilitamani sana kuwa na furaha katika maisha, akaniuliza kitu gani
kifanyike ili niwe na furaha, kiukweli nikamwambia kwamba kama
angekufa muda huo, hakika ningefurai milele.

Nikafanikiwa kusoma chuo na kwenda nchini Afrika Kusini
kusomea sheria, nilifurahi sana. Sikutaka kurudi nyumbani,
nikaoa huko huko na kupata watoto.

Katika maisha yangu yote hayo hakika sikumkumbuka kabisa mama
yangu, nilikuwa nikitamani sana afe ili niwe na furaha.

Nikafanikiwa kupata watoto wawili huku nikiwa nimejenga
nyumba ya kifaari na kuwa na utajiri mkubwa.

Kuna siku nikasikia mlango ukigongwa, watoto wangu wakaenda
kuufungua mlango, ALIKUWA NI MAMA YANGU amekuja
kunitembelea.

Watoto wangu wakaanza kulia kwani
walikuwa wakimuogopa sana mama yangu kutokana na hali
ya kukosa jicho aliyokuwa nayo, nikaamua kwenda
mlangoni, nilipomuona, alifikiri ningetabasamu, nikamfokea
kwa haira sana
"TOKA NYUMBANI KWANGU KINYAGO
WEWE UNAWATISHA WATOTO
WANGU
".

Kwa sauti iliyojaa upole, mama yangu akaniambia
"SAMAHANI BABA. NAFIKIRI NITAKUWA NIMEKOSEA NJIA" hapo hapo akaondoka.
Nikafanikiwa kutembelea nchini Tanzania, na moja kwa
moja nikaanza kwenda kwenye nyumba ile tuliyokuwa
tunakaa.

Majirani zangu wakaniambia kuwa mama yangu alikuwa amefariki kwa
kuwa tundu la jicho lake lilikuwa limeharibu hadi mishipa ya fahamu,

WALA SIKUHUZUNIKA KABISA ZAIDI YA KUTABASAMU. Hapo ndipo
waliponiletea barua ambayo aliiandika mama yangu na kunipa.
Barua ile ilikuwa imeandikwa hivi.

Mwanangu mpendwa.
Najua kwamba katika maisha yako ulikuwa ukinichukia sana
ila amini kwamba nilikuwa nikikupenda sana.
Ulipokuwa mtoto ulipata ajali, jicho lako likapasuka ila kwa kuwa
nilikuwa sitaki uishi maisha ya kuwa na jicho moja, nikaamua
kutoa jicho langu na kuwekewa wewe ili tu uweze
kuuona ulimwengu kwa macho yote mawili.

Sikutaka kujali ningepata matatizo gani lakini
niliamini kwamba wewe ndiye ungekuwa furaha yangu hasa
kila nitakapokuona unauangalia ulimwengu huu huku ukitumia jicho langu moja.
Mimi mama yako Mpendwa....

###########.....MWISHO...########################

Labda kwa namna moja ama nyingine ume waacha wazazi wako kijijini
wakiteseka huku wewe ukila maisha matamu mjini.
Unajua walitoa upendo kiasi gani kwako kukusaidia kufika hapo ulipo fikia?
Labda hawakukusaidia,....lakini unadhani kuwachunia ni adhabu inayo faaa kabisa?

Mungu na akufungue ufahamu wako,UITAMBUE AMRI YAKE PEKEE YENYE AHADI,....uwapende
na kuwaheshimu baba na mama yako ili upate heri na miaka mingi duniani.

God bless you.

NiPM namba unayotumia whatsap nikutumie video yake kama huna.
 
Mama mungu akupumzishe kwa aman nilikupenda sana lkn mungu alikupenda zaid
 
Back
Top Bottom