Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

Hakuna mwanamke ninaye mchukia kama mama yangu

Jamani,nashindwa hata la kusema juu ya upendo wa mama kwangu,last week nimetafakari sana juu ya matendo na maneno ya mama juu yangu toka nilipokuwa Mtoto,nikagundua hata nifanyeje au nimpende vip bado yeye ndo ananipenda Mimi zaidi,kiwango cha mapenzi yake kwangu ni zaidi ya Mimi ninavyompenda,niliwaza sana halafu ilikuwa usiku nikaishia kulia kwa uchungu,nikikumbuka na changamoto alizopitia,tena akiwa mjane,basi naamini ye ndo ananipenda zaidi kuliko MTU yeyote hapa duniani.!!Mungu ampe maisha marefu mama yangu!!
 
Mama ni mama hta iwe vp!kwanza wanawake mlio na watoto nadhan uchungu mnaujua.ebu fikiria hcho ktu thn mwsho wa cku mtoto anakudharau,ofcoz tumuombe Mungu awacmamie watoto wetu.huyo mama alikufa kwa huzuni sna,wkt watoto ni furaha na faraja toka kwa Mungu.

Amina rabbi el alaamin
 
Jamani,nashindwa hata la kusema juu ya upendo wa mama kwangu,last week nimetafakari sana juu ya matendo na maneno ya mama juu yangu toka nilipokuwa Mtoto,nikagundua hata nifanyeje au nimpende vip bado yeye ndo ananipenda Mimi zaidi,kiwango cha mapenzi yake kwangu ni zaidi ya Mimi ninavyompenda,niliwaza sana halafu ilikuwa usiku nikaishia kulia kwa uchungu,nikikumbuka na changamoto alizopitia,tena akiwa mjane,basi naamini ye ndo ananipenda zaidi kuliko MTU yeyote hapa duniani.!!Mungu ampe maisha marefu mama yangu!!

Me nlikumbuka kitu cha kipuuzi kabisa ila nlishangaa upendo wa mama hauna kifani yaani mama hawachoki kuwapenda watoto wao mapenzi yao hayana msimu mama hana kinyongo kwa mwanae....

Big up mamaz
 
Me nlikumbuka kitu cha kipuuzi kabisa ila nlishangaa upendo wa mama hauna kifani yaani mama hawachoki kuwapenda watoto wao mapenzi yao hayana msimu mama hana kinyongo kwa mwanae....

Big up mamaz

Halafu ukifuatilia sana sisi watoto ndo Mara nyingi tunawakwaza mama zetu kwa mambo yetu,tumekuwa tukiwakosea sana toka utoto hadi utu uzima,kwa bahati mbaya ama kwa makusudi,lkn wanatusamehe tu hawatuchoki,kweli nani kama mama!!
 
Swadaktaa....
 
RIP my mom I will always love you japo kumbukumbu ni ndogo kwa nlikuwa mdogo ulipoondoka ila nakukumbuka sana
 
Wewe ushaniharibia furaha yangu kwa híi habari mbaya.
Isikuharibie furaha yako tunakumbushana, kwa nyie ambao mumebahatika kuwa na wazazi au mzazi naomba msiache kufikia vile ambavyo baadhi yetu tunavyojisikia ambao wazazi wetu wametangulia mbele ya haki, ijapokua tumejaribu na kujitahidi na hakuna anaeweza kulipa fadhila ya wazazi wake, tunajihisi mara zingine tungeweza fanya zaidi ya vile tuliyowafanyia.

Naomba mliokua bado muna wazazi wenu au mzazi mufanye maombi kila siku kwa nguvu yeyote mnayoamini, iwape nguvu ya kuwatizama wazazi wenu kama vile walivyo watizama pale mlipowahitaji mlipokuwa watoto wadogo na mlikua hamjiwezi.
 
ujumbe umefika,bali najiuliza jicho la mtu mzima kuwekewa mtoto mdogo huo niuongo usiofanana na ukweli...!

namashaka na umri wako na uelewa wako... jicho katika story hii.. inaweza kuwa wazazi wako walijinyima fedha ya kula na kuvaa ili wapate ada yako...

siku nyingine tumia akiri kusoma
 
kuna baadhi ya watu hapa mjini wanaponda ujana kwenye kumbi za sodoma na gomora huku wazazi wao wamechoka sana huko vijijini... jamaa mmoja tulishawahi kwenda kijijini kwao kumzika dada yake nilishangaa sana kwani hata choo kilikuwa hakipo kwao, kijisaidia kwa jirani... baba yako nguo alizovaa zimechakaa huku mtoto wake anakula bata daily..
 
Ni kuomba tu.
Unaweza kujiapiza hutafanya kama jamaa,ukaja kuoa mke
asiye kuwa na ubinadamu na akakuweka kwenye chupa
matokeo yake wazazi unawaona kama vinyago.

Omba mke mwema,omba roho ya upendo na uvumilivu.

Ikiwa hivyo wewe huna dhambi coz umerogwa sio akil yako
 
Back
Top Bottom