Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hiyo "High expectations" high self esteem ndio mara nyingi inawafanya mnaonekana hamna uhalisia, mna hila, na kupelekea msieleweke. Ukiwa halisi, utaeleweka tuu na mrija utakufikia. Utakula pesa ya mwanaume kwa muda mrefu na bila purukushani. Una mahitaji yako halisi yaseme kwa uhalisia wake. Sio uongeze sifuri mbele.
Hahahaa! Ila wanaume mnatofautiana! Kuna watu ukiwa fake ndio utamuenjoy sana! Na kuna watu ukiwa real utaenjoy sana!
 
Hahahaa! Ila wanaume mnatofautiana! Kuna watu ukiwa fake ndio utamuenjoy sana! Na kuna watu ukiwa real utaenjoy sana!

Hiyo "fake" waga ni ya muda mfupi, kijamaa kikitimiza haja kinakata mrija, maigizo yanakokimbiza. Kumbuka hilo.
Anyway! Cheza ki wewe.. 😁
 
Ndivyo dunia ilivyo, no free lunch hasa kwa nchi za kimasikini kama Tanzania. Ukishachukua namba tu tegemea yeye kuishiwa kila kitu kuanzia chakula, gas, umeme, maji, vocha, kodi, kuumwa hadi chupi.

Mtu kapanga chumba analipa 200k, hana stable income au hana income kabisa ila anaishi lavishly, mtu wa hivi ukijiingiza you're gone my friend.

Nawapanga tu vijana, DATING A BROKE LADY ni kujitakia ufukara, hasa wakati huu mnajitafuta kiuchumi.
 
Umekutana na mwanaume amekutongoza ukakubali kisha mkaenda kwenye eneo la tukio mlipomaliza ukamuomba hela tayari hapo umeuza bidhaa yako.

Umetongozwa umekubali umeenda kwenye eneo la tukio kabla hujavuliwa chupi unauliza una shingapi tayari umeiuza hiyo bidhaa yako.
Sio wote mkuu

Kuna ambao hawaombi kabisa ila unajiongeza kuwapa
 
Back
Top Bottom