Hakuna Mtu mwenye tabu huku duniani kama muafrika

Ni Mwafrika anaechukiws na Waafrika wenzake kwa maendeleo yake.
Anapambana pia na dharau za wazungu katili biashara
Nimetoa mfano wa DANGOTE, Nina maana ukiwa MASIKINI popote duniani wewe ni taabu na dhiki ,,mateso yatakuandama,,,,na ukiwa na PESA basi raha mustarehe hata ukiwa Africa ,,wapo waafrica wanaishi kwa raha kuliko wazungu,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tajiri wa Africa ni maskini sana tu.

Hataishi kwa raha na jirani zake

Watamuona anajisikia,watamwibia

Hato socialise na maskini wengi, na matajiri ni wachache.

Maskini watamwinda awagonge na gari ili awalipe.

Una mapesa kaa Ulaya kwa wenzio. aaaah!
 
yaani watajipeleka kwenye matyre ya gari maksudi. ili wajigongeshe. hata kuwagusa tu, wanajifanya wameumia. BONGO jamaniiii
 
Ni Mwafrika anaechukiwa na baadhi ya Waafrika wenzake kwa maendeleo yake.
Anapambana pia na dharau za wazungu katili biashara
Tena mnao share the same DNA, hasa mashangazi, binti wa kaka zao waakiolewa, wakipata job dahhh! Better for africans people from a far,
 
Back
Top Bottom