Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

Kila kitu kiko wazi. Soma classified CIA report: analysis and assessment of gateway process.

Unaweza pia ukapita kitabu cha Itzhak Bentov: Stalking the Wild Pendulum.

Vyote hivyo vina free pdf online.

Kila kitu kimeunganika.

Unachongoongelea ni Unity Consciousness.
It's in the bible, ancient texts na hao CIA wanajua yote hayo... Na Bado hujaongelea Vatican? They've kept these secrets in the name of religion too.

Series pia ya stranger things Kuna code mule.

Unity consciousness is the only true game, separation is brought by the egoic mind, which again Bado ni necessary Kwa ajili ya expansion.
 
Mkuu izo critics za kuwa ni new age stuff kwel zipo ila ukichunguza kwa sahivi kila spiritual practice kuna vi2 inaongezewa na kuonekana new age(neno limekaa kimchongo kutisha watu sometimes kuonya watu). huku kwenye kabbalah herufi za kiebrania zmegawanywa katika makundi matatu 1.ni 3 mother letters(aleph, mem, shin) 2.ni 7 double letters(beth, gimel, daleth, kaph, peh,resh,tav) na 3.ni 12 letters(heh,vav,zayin,het,tet,yod,lamed,nun,samekh,ayin,tzaddi,qoof).
hapo unaona hzo herufi 12 ndo zinalink na miez12(zodiac signs) na concept ya astrology inaanzia hapo. na hizo 7 double letters znaresemble 7 planets. izo 3 znawakilisha(air,water,fire)+earth(malchut). kudraw enegy inatakiwa uelewe nguvu ya hizo herufi. mfn shin(fire) hii ni transforming energy ko kuifocus shin work ni unachochea inner fire inayo transform state ya consciousness. mem(water) dissolving energy na ndo emotions zenyew so u can dissolve ur fear anger etc.

mimi sina guru yoyote hii ni self workshop sina cha candlight wala chcht.
 
utofauti wa tree of life and death uko hivi. kwanza tol ni essence ya uumbaji wakati tod ni qlipoth ni kama peels(maganda) yalitokea baada ya uumbaji kwa maneno tod ni misregulated creation imetawaliwa na chaos sana. kwenye tod juu ya keter kuna ein sof na ein sof aur(divine source). lkn tod haina. hvo tree of life inampa kipaombele Mungu(divine Over matter) wakat tod n(matter over divine) hvo inawapa watu room kujipriotize wenyew(self deification) na kupriotize material things. kwa manen mengine tod ndo inverted pentagram(malchut(earth) inakuwa juu wakati keter chini). tod ndo zao la left hand practices like satanism, luciferianism n.k.

mim workshop yang nimejikita perfect tree of life yaan MUNGU ni wakwanza kuliko kitu chochote.
 
Pia kwenye michoro kwny tod unaona maneno kama thaumiel, lilith n.k hao ni archdemons. ukija kwny tol unakutana na metatron, sandalphon, gabriel n.k hao ni archangels. iko hvi yaan kila sefirot kwny hiz tree huw znaattribute malaika.

nashauri focus tree of lifee haina mambo ya giza kabisa na result nzuri unapata. tree of death ni utumwa kwanz ili unlock energy ina maformula magumu mara chanting mara sigil mara usome grimoire fln ndo hcho k2 ckpend japo kuna wa2 wanapata matokeo na huko.
 
N.B kila m2 ana tree of life ndani yake ni kaz yake kuactivate. ukisum up 10 sefira+22 letters unapata 32 paths. na hapa ndo 2napata 32 pathwalking. ndo maana hatufocus maneno kama ascending au descending we just walking the tree and not climbing the tree.
 
Pia mwanzon uligusia numerology. hii k2 kwny qabbalah ipo japo cjajikita saana nina idea kdg iko hv kila letter ina numeric value zake hizi 22 letters na final zake 5 ko kuna jumla ya 27letter na naonaga znakuwa labeled kwa mtindo wa(1-9 then10,100,200,300....). wataalam wa gematria ndo wanaanziaga hapo. hata jina la MUNGU(YHVH) yaan YOD,HEH,VAV,HEH idea ni huko huko kwny tetragrammaton.
 
Mkuu izo critics za kuwa ni new age stuff kwel zipo ila ukichunguza kwa sahivi kila spiritual practice kuna vi2 inaongezewa na kuonekana new age(neno limekaa kimchongo kutisha watu sometimes kuonya watu). huku kwenye kabbalah herufi za kiebrania zmegawanywa katika makundi matatu 1.ni 3 mother letters(aleph, mem, shin) 2.ni 7 double letters(beth, gimel, daleth, kaph, peh,resh,tav) na 3.ni 12 letters(heh,vav,zayin,het,tet,yod,lamed,nun,samekh,ayin,tzaddi,qoof).
hapo unaona hzo herufi 12 ndo zinalink na miez12(zodiac signs) na concept ya astrology inaanzia hapo. na hizo 7 double letters znaresemble 7 planets. izo 3 znawakilisha(air,water,fire)+earth(malchut). kudraw enegy inatakiwa uelewe nguvu ya hizo herufi. mfn shin(fire) hii ni transforming energy ko kuifocus shin work ni unachochea inner fire inayo transform state ya consciousness. mem(water) dissolving energy na ndo emotions zenyew so u can dissolve ur fear anger etc.

mimi sina guru yoyote hii ni self workshop sina cha candlight wala chcht.
Do you know how to quote? Maana nshindwa kuona pingback ya comments zako.

That's very interesting, and I think sometimes it goes with intuition. Kuna muda nilikuwa drawn sana Kwa wale tarot readers wa YouTube. Hapo ndo nilijifunza kuhusiana na hizo planets, Kuna mpka ilifika muda nikawa najua akitoa kadi flani anamaanisha Nini.

It went for a while, ila baadae nikaona it's just like a trap, ila Kuna muda vitu vilikua vina align kweli.

So, umejifumza mwenyewe na una practice mwenyewe. That's great.
 
utofauti wa tree of life and death uko hivi. kwanza tol ni essence ya uumbaji wakati tod ni qlipoth ni kama peels(maganda) yalitokea baada ya uumbaji kwa maneno tod ni misregulated creation imetawaliwa na chaos sana. kwenye tod juu ya keter kuna ein sof na ein sof aur(divine source). lkn tod haina. hvo tree of life inampa kipaombele Mungu(divine Over matter) wakat tod n(matter over divine) hvo inawapa watu room kujipriotize wenyew(self deification) na kupriotize material things. kwa manen mengine tod ndo inverted pentagram(malchut(earth) inakuwa juu wakati keter chini). tod ndo zao la left hand practices like satanism, luciferianism n.k.

mim workshop yang nimejikita perfect tree of life yaan MUNGU ni wakwanza kuliko kitu chochote.
Seems like practice nzuri.. ila inahitaji strong imagination not presence alone
 
Pia mwanzon uligusia numerology. hii k2 kwny qabbalah ipo japo cjajikita saana nina idea kdg iko hv kila letter ina numeric value zake hizi 22 letters na final zake 5 ko kuna jumla ya 27letter na naonaga znakuwa labeled kwa mtindo wa(1-9 then10,100,200,300....). wataalam wa gematria ndo wanaanziaga hapo. hata jina la MUNGU(YHVH) yaan YOD,HEH,VAV,HEH idea ni huko huko kwny tetragrammaton.
Kabisa mkuu, geometry and symmetrical signs everywhere. Thanks for recommending.. I'll check it out.
 
Mkuu
andiko lako zuri sana upo sahihi, mimi ni self initiated nina mwaka sasa na practice kabbalah faida ninaziona na sijutii. saturnian work inanisaidia sana kuconfront chaos/distractions kuzigeuza kuwa order nafanyia kazi sana hizi nguzo mbili boaz na jachin.
Naomba unifahamaishe vizuri hii na kam kuna vitabu vya kusoma naomba unicheki na PM
 
Hii thread iko too complicated to be understood to many jf members ndo maana wachangiaji wakuu ni hao hao wawili,binafsi hata mi sijui inahusu nini
 
Hii thread iko too complicated to be understood to many jf members ndo maana wachangiaji wakuu ni hao hao wawili,binafsi hata mi sijui inahusu nini
Hamna mkuu watakuwepo tu labda hawajaona.
Uzi unahusiana na spiritual awakening. Na jinsi mtu anaexperience non-duality akiwa kwenye climax ya uamsho wa kiroho. Yaani kunakuwa hakuna tofauti kati ya yeye na Kila kitu kimzungukacho
 
deGunner
natumia kiswaswadu operamini4 ndomana nashindwa kuquote ila 2vumiliane mkuu.
nafurahi kusikia ulish2kia janja janja za kwenye tarot reading upo vzr kwny machale(instincts) means yesod-netzach intelligence yako iko vzr sana. ngj niweke vzr kabbalah imegawanyika sehemu mbili 1.traditional qbl hii ndo babalao ni very complex msingi wake ni vitabu viwili zohar na sefer yetzirah(book of formation). ili kuwa initiated unapaswa kuwa 40+ umeoa 2.modern qbl hii ni modification ya qbl 1 yaan imeongezewa vi2 kulingana na m2 alivyoipokea hapa utakutana na mafundinsho ya rabbi isaak luria n.k pia kuna websites chabad na kabbalah center zote hz znatoa mafundisho ya modern qbl. hii initiate ni wa age yyt. uko sahh hii inataka mtu uwe vzr kwny spatial thinking na imagination ndo utaielewa.
 
Nyanda madirisha
mm nlivutiwa sana uzi wa mkuu degunner nkaguswa kushare hichi ki2 japo ni kama kigeni miongoni mwa wengi ila kipo. kiufupi kabbalah ni esoteric teaching. basics ni rahisi zjue 1.herufi 22 za kiebrania. 2.vitufe 10 vya nishati(10 sefira). pia elewa mihimili mi3 ya mti wa uzima(3 pillars of tree of life).

maana kabbalah n tool inayoonesha mechanism how spiritual awakening it is.
 
deGunner
natumia kiswaswadu operamini4 ndomana
Duuh mkuu haupati shida kwenye ku type? Unefanya hivyo because of minimalisim au? Maana hayo mambo haya hitaji distractions.
1.traditional qbl hii ndo babalao ni very complex msingi wake ni vitabu viwili zohar na sefer yetzirah(book of formation). ili kuwa initiated unapaswa kuwa 40+ umeoa
Ooh kumbe? That's so complex but I'll have to try it one day. Never thought kutakuwa na mmbongo anaye jua haya madude! Wenzetu are so resilient, unakuta mtu anaacha Kila kitu anaenda labda India, aningia kwenye practice bila kuchoka. They're indeed resilient, sisi wengine tukikumbwa ba changamoto tuna quit.
 
Nyanda madirisha
mm nlivutiwa sana uzi wa mkuu degunner nkaguswa kushare hichi ki2 japo ni kama kigeni miongoni mwa wengi ila kipo. kiufupi kabbalah ni esoteric teaching. basics ni rahisi zjue 1.herufi 22 za kiebrania. 2.vitufe 10 vya nishati(10 sefira). pia elewa mihimili mi3 ya mti wa uzima(3 pillars of tree of life).

maana kabbalah n tool inayoonesha mechanism how spiritual awakening it is.
Yes, that's the simplest explanation, ila inahitaji utambuzi pia wa energy, energy centers...inahitaji uwe na idea ya energy body and so forth. Lazima uwe na spiritual background to some extent.
 
20260423_232537.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom