de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,610
- 23,104
- Thread starter
- #41
Mkuu upo bongo?Nyanda madirisha
mm nlivutiwa sana uzi wa mkuu degunner nkaguswa kushare hichi ki2 japo ni kama kigeni miongoni mwa wengi ila kipo. kiufupi kabbalah ni esoteric teaching. basics ni rahisi zjue 1.herufi 22 za kiebrania. 2.vitufe 10 vya nishati(10 sefira). pia elewa mihimili mi3 ya mti wa uzima(3 pillars of tree of life).
maana kabbalah n tool inayoonesha mechanism how spiritual awakening it is.