Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!
We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!
Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!
.....huyo kirusi anayesemekana yumo ndani ya CHADEMA ni nani?
Nimependa hapo pa kifaranga ,hahaaaaaaaaaaa
Naona bosi wenu leo amewalipa posho zenu mapema na weekend yenu imekuwa nzuri LB7.
ben saanane, kama kweli we unaifahamu siasa na unajiandaa kuwa kiongozi hapo mbeleni sioni haja yako wewe kuendelea kushabikia udaku na kurushiana maneno na watu hum Jf yasiyo na maana. Umeshaona vijana wenzako busara walizonazo? Mfano heche, mnyika n,k
ben saanane, kama kweli we unaifahamu siasa na unajiandaa kuwa kiongozi hapo mbeleni sioni haja yako wewe kuendelea kushabikia udaku na kurushiana maneno na watu hum Jf yasiyo na maana. Umeshaona vijana wenzako busara walizonazo? Mfano heche, mnyika n,k
Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!
We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!
Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!
Kweli njaa haina adabu. Are they CDM or CCM?Naona bosi wenu leo amewalipa posho zenu mapema na weekend yenu imekuwa nzuri LB7.
Hauna hadhi ya kupendwa na CCM simply because nje ya JamiiForums hakuna anayekujua.
Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!
We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!
Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!
Ben Saanane hajawahi kushabikia udaku ,na wala kurushiana maneno zaidi ya kujibu hoja za wazandiki na wasio itakia mema chadema.na mara zote na si post zote hujibu au kuchangia,fuatilia utajua.
Hata nepi aliyofungwa Ben Saanane akiwa mchanga unajua iliko? Du wanajimu na majasusi wengi kweli kweli.Ben na wee kaa kimya hapa tunajua madhambi yako mengi sana na ipo ck utanikumbuka! Tunajua unachokifanya na kwenye gari lako nini unabeba na wapi unaficha!
We ilichukuwa dk 5 kujua maisha yako yote na ipo ck utanikumbuka kwa haya maneno yangu! Unadhani hii dunia Ina Siri? Tunajua Jana umefanya nini na Leo utaenda wapi na utafanya nini na utabeba nn na utaficha wapi!
Kaa kimya ndugu yangu! Hakuna ukereketwa hapa kuna maslahi tu!
Huwezi kumkuta Yericko kwenye huu uzi
Sifuati mkumbo.Nitabakia kuwa mimi.No matter what!

Wewe joka la Mdimu kweli kweli;si ulishaaga umeikacha CDM? Kaa pembeni utuachie CDM yetuKwa kweli Zitto ni mtu wa kutumainiwa.
Angekuwa inawezekana akagombea urais angekonga nyoyo za watz
Umenena mkuuBen Saanane hajawahi kushabikia udaku ,na wala kurushiana maneno zaidi ya kujibu hoja za wazandiki na wasio itakia mema chadema.na mara zote na si post zote hujibu au kuchangia,fuatilia utajua.
Mkuu Mwita LB7 wanasumbua humu JF kwa posho zao hasa wanapopokea mapema.lkn niseme tu wazi kwamba hii ni mipango endeleve tena iliyoshika kasi ktk siku za hivi karibuni kuhakikisha aliyoyasema Mzee Wasira yanatimia,ni mipango ya kutaka Chadema ife,ili maccm waendelee kuwanyonya wananchi,ni mipango ya kutaka cdm iwe na viongozi dhaifu ili kiwr chama cha kusindikiza tu lkn sio kushika dola,mf TLP,hata Nccr nayo bado huwezi kusema 2015 itatoa upinzani mkali.
Cha kujiuliza hapa ni kwamba iweje CCM wapiganie tuwe na kiongozi imara CDM badala tuendelee na hao viongozi wetu dhaifu kama wanavyodai?
Ukiona hivyo wanaemtaka wao ni wao.