Hakuna Matata

Hakuna Matata

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,657
Reaction score
161,643
"Hakuna matata, ain't no passing craze. It means no worries, for the rest of your days! It's our problem-free philosophy, hakuna matata!"


535174_10150656432401551_344874753_n.jpg
 
Which simba are you talking about, huyuhuyu wa kukalia miwa ya kule manungu morogoro!?
 
Last edited by a moderator:
Hivi na ile pombe iliyokuwa inaitwa "Hakuna Matata" ilienda wapi?
 
Jamani nimemiss uncle Scar, alikuwa anamwambia Simba, run simba run and never return
 
Last edited by a moderator:
Hii movie ilitengenezwa kwa umakini sana na hata storyline yake imetulia ingawa kwa undani wamezungumzia supremacy yao weupe.

Movie hii imetengenezwa kwa mazingira halisi ya mbuga ya Serengeti. Nakumbuka those days ambapo timu ya wataalam wa Disney walifikia Kenya na kufanya research yao Serengeti kuhusu maisha ya simba huku kituo kikubwa ni Nairobi. Hivyo kiswahili kilichotumika kwenye hii movie ni cha Kikenya. Pride Rock ni resembles ya eneo lililopo ndani ya Mbuga. Ukiangalia part 2 yake utagundua hili. Kwa mfano neno UPENDO wamelitohoa UPENDI n.k.

Lakini ni budi tuwe na shukrani kwa waandaaji wa hii filamu kwa kukipromoti Kiswahili. Mtoto wa Scar wamemuita KOVU.

Hakika HAKUNA MATARAAA!
 
awwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii abumbambaaaaaaaaaa........the lions sleeps tonight!!!Pumba...Pumbaa??? haha ma favr8 part
 
i remember nilikutana na jamaa raia wa singapore akawa anafikiri hakuna matata ni Just a Disney Phrase. hakujua kabisa kama ni kiswahili.

we thank them for the using kiswahili lakini ingependeza wakasema it means no worries in swahili
mi nilipenda ile scene ya kwenye movie ya THE A TEAM ambapo jamaa alimwambia immigration officer kwa kiswahili and then wakataja kabisa ni kiswahili. nakumbuka theater nzima ya Mlimani City walishangilia kuona ile scene.

back to lion king
(napedna scene moja ya kijinga sana ila am not sure with the words)

Timon: who is the champion of snail slugging
Pumba: we have never done snail slugging before

basi hapo wakakusanya snails, Timon na Simba wakaanza kushindana kula snails. its soooooo funny
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom