Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,115
Malaya sio kupokea pesa tu baada au kabla ya Sex...bali malaya ni Mwanamke wa wote....malaya sio lazima ajiuze...anaweza akawa hta ofisini na kazi yke nzr tu..lakini akawa ni malaya..anaweza hata akawa mke wa mtu lakini malaya...na kuna tofauti ya malaya na muuza UCHI pia....malaya anaweza ikawa ana tabia ya kutembea na wanaume tofuti tofuti hta bila kupewa kitu,,ni tabia yake tu kutembea hovyo,,mwanaume anaweza akamrubuni kw maneno au chochote akampata..na anaweza asimpe chochote...lakini muuza uchi tendo halifanyiki bila kuona pesa kwnza..au ukishamaliza bila pesa zake hutoki..kwahiyo si kila mwanamke ni malaya na si kila malaya ni muuza uchi..Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical.
Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita wauza uchi na malaya.
Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja.
Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais ninajiamini nina exposure ya kutosha ndani ya nchi na nje.
Ni sisi wanaume 98% tukisafiri upenda kupata ukarimu wa ngono kwa wasichana wa eneo husika, na ukute unakaa siku mbili tu, ukikalimiwa imeshakuwa shida, malaya umesahau wewe mwenyewe malaya.
Ukimuuliza mtu ni mwanamke gani umewahi kusex naye hujampa pesa huwezi kupata jibu ukweli ni kwamba wanawake wote wanapokea pesa after sex kwa kisingizio cha nauli.
Lakini hapa wapo wadada ambao wao wameweka wazi ukitaka kuwamega mkatie pesa kiasi fulani basi mchezo umekwisha hawa ati wanaitwa wauza mbunye kosa lao liko wapi? Ni mwanamke gani anayetowa bure? Aje hapa hadharani akanushe hili.
Haya ngoja niwape mifano hai kuna dogo huyu Diamond eti naye kapachikwa jina la malaya!! Jamani tumuogope Mungu huyo Diamond ni maarufu tu hana umalaya wowote, wanawake wote aliodate nao wanahesabika wakati sisi tunaomnyooshe kidole binafsi kwangu hata ukiwajaza kwenye fuso halitoshi labda ulete treni ya Mwakyembe na ukinipa kitabu niwaandike siwezi kuwakumbuka ila huyu mtu maarufu wanawake aliotembea nao kwa 99% wanajurikana hii same applied kwa Wema Sepetu.
Issue iko hivi kuna wanawake hawatoi nyuchi zao kwa mfumo wa kupatana bei lakini wastani wake wa kuliwa na wanaume kwa mwezi anamzidi huyu tunayeamini na kumuita muuza mbunye hii siyo sawa hata kidogo.
Ninajuwa vyema wako wanawake wachache mno very independent lakini ukiwachunguza kwa undani walishaumizwa na wanaume ndio sababu kwakuwa wana cash mwanaume ukikaa na mwanamke kama huyo anakuonesha power of independence woman, anaclear bill na anaweza kukupa cash.
Mimi nawapa moyo sana madada wote wanaotowa ngono kwa mapatano ya cash kwanza siyo wanafki ni wawazi hawana usumbufu na 90% ni wadada ambao wapo kwenye viwango vya kuitwa warembo.
Nihitimishe tu hoja yangu kwa kumtaka mwanaume yeyote anayejiona yeye si malaya ajitokeze hapa na mwanamke yeyote anayesema yeye hauzi anatowa bure pia ajitokeze hapa.
Tanzania bila unafki inawezekana.
Waambie pia hao unaowatetea kua Siku hizi hakuna mwanaume wa bureee maana kama ni raha twapata wote! Ebbo!Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical.

Mwanamke muuza Uchi humli bila pesa....lakini malaya ni mwanamke anayetembea na kila mwanaume hata bila kupewa kitu..ni mwepesi kumpata hata ukimpiga sound tu unamla....buree...ndy maana hata mwanaume ukiwa na tabia hyo unaitwa malaya. ..bila kujali ww ni ME au KE...malaya linasimama vilevileMatola tofauti ipo bwana. Kwa yule anayeuza waziwazi huwezi kumla bila pesa yaani kama huna hela siku hiyo unakufa na ny*** zako wakati mwanamke wako anaweza kukupatia muda wowote bila kudai cash. Kitu kingine hivi unamaanisha hata waliooa nao wanauziwa sio? Maana hata wao wanahudumia sana tu
Mimi sikufichi, nikisema niwapange basi Fuso haitoshi lakini kwenye jamii ninayoishi mimi ni moja watu watulivu sana kwenye maswala hayo.Hapo kwa Diamond na Wema nakubaliana na wewe kuna siku tulibishana na dada yangu nikamwambia hebu tuhesabu wanaume uliotoka nao wewe tulinganishe na wa Wema tuone nani anao wengi zaidi... Tena Diamond ndo kabisaa ni mtulivu ukilinganisha na kaka zetu huku mtaani
Kwa hiyo kama una mpenzi wako mnakulana bure bado utamuita malaya?Mwanamke muuza Uchi humli bila pesa....lakini malaya ni mwanamke anayetembea na kila mwanaume hata bila kupewa kitu..ni mwepesi kumpata hata ukimpiga sound tu unamla....buree...ndy maana hata mwanaume ukiwa na tabia hyo unaitwa malaya. ..bila kujali ww ni ME au KE...malaya linasimama vilevile
Haha eti fuso halitoshi duuh we kibokoMimi sikufichi, nikisema niwapange basi Fuso haitoshi lakini kwenye jamii ninayoishi mimi ni moja watu watulivu sana kwenye maswala hayo.
Tena ningemiliki uchumi kama wa huyo dogo Diamond basi huenda hata nishepata jina la marehemu tayari.
Kuna wake za watu wa ndoa kabisa jamaa wanaowala ukipiga hesabu wanszidi idadi ya mabwana aliodate nao Wema ambaye status yake ni single.
Nimesema malaya ni mwanamke/mwanaume anayefanya mapenzi na wanaume/wanawake wengi ndy tafsiri ya malaya..malaya sio lazima awe mwanamke..hata mwanaume km ana tabia hizo pia ni malaya...wapo wtu wanaishi na wake/ au waume zao wakati ni malaya huko mitaani...ila muuza uchi yeye kazi yake ni kuuza uchi,,na bila pesa humli...ila malaya unaweza ukamla hata bila pesa sababu yeye tabia yake tu ni kutembea na wanaume tofauti, ,,malaya unaweza ukamnunulia hata chips kuku tu ukaenda kumla hata bila kumpa pesa....ila muuza uchi chips atakula na pesa zake lazima uumpe...na hata huyo mpenzi wako kama ana wanaume 4 zaidi ya wewe means ni malaya..wengi tunaishi na malaya ndni bila kujijuwa...Kwa hiyo kama una mpenzi wako mnakulana bure bado utamuita malaya?
Wanaume si kila tunayekula naye uroda ni mtu wako, mwingine mmegumiana tu mitaa flani sasa unamkomalia mpaka akupe mzigo, baadaye unamwachache? Hoja hiko hapo. Na mwingine mnajuana tu fresh.Matola tofauti ipo bwana. Kwa yule anayeuza waziwazi huwezi kumla bila pesa yaani kama huna hela siku hiyo unakufa na ny*** zako wakati mwanamke wako anaweza kukupatia muda wowote bila kudai cash. Kitu kingine hivi unamaanisha hata waliooa nao wanauziwa sio? Maana hata wao wanahudumia sana tu
Lakini sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo. Bado niko palepale si kila mwanamke 'anauza'Wanaume si kila tunayekula naye uroda ni mtu wako, mwingine mmegumiana tu mitaa flani sasa unamkomalia mpaka akupe mzigo, baadaye unamwachache? Hoja hiko hapo. Na mwingine mnajuana tu fresh.