Hakuna malaya hapa duniani ni unafki tu unatusumbuwa, na hakuna demu wa bure hili lieleweke vizuri (wote wauza nyapu?)

Mkuu upo sahihi kabisa mimi kuna mtu nilikua nambishia kuwa diamond sio malaya kwa sababu yule chali kwa kiwango cha umri, umaarufu na utajiri alionao kulinganisha na idadi ya madem aliodate nao kajitahidi kuvumilia sana. Tatizo ni vile kila anaetoka nae jamii lazima imjue. Kuna watu wanamiliki TZS 20M na kila siku lazima achape kitu kipya. Imagine Diamond ana zaidi ya TZS 2bil lakini wanawake anaotoka nao kwa mwaka hawazi hata 10.
 
Siku hizi malaya wa kike ni sawa na kahaba tu. Wote wanatumia miili yao kingono kubadilishana na pesa, strategies ndio zimetofautiana
Nakubaliana na wewe100 kwa 100.

Hapa walichozidiana ni medani ndio sababu wengine wanauza kwa uwazi na wengine hawauzi na wala hawatoi bure.
 
Matola ushaacha kula gomba?na wale wqtoto wa kiarabu magomeni wameacha kukumega siku hizi?
1507350872909.jpg

Chinese verbs says, A photo can speak thousand words.
 
Kati ya wanawake 100, 1 tu pengine ndio huenda akawa siyo muuza k au usipate kabisa hata mmoja, wanawake wengi ni wauza k ila wanatofautiana tu mazingira ya biashara yao
 
Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical.

Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita wauza uchi na malaya.

Leo mimi ndio Advocate wao ambaye nimejitolea bure kuwatetea na kuweka fact and evidence tubishane kwa hoja.

Mimi binafsi kwanza nina umri wa kuweza kugombea Urais ninajiamini nina exposure ya kutosha ndani ya nchi na nje.

Ni sisi wanaume 98% tukisafiri upenda kupata ukarimu wa ngono kwa wasichana wa eneo husika, na ukute unakaa siku mbili tu, ukikalimiwa imeshakuwa shida, malaya umesahau wewe mwenyewe malaya.

Ukimuuliza mtu ni mwanamke gani umewahi kusex naye hujampa pesa huwezi kupata jibu ukweli ni kwamba wanawake wote wanapokea pesa after sex kwa kisingizio cha nauli.

Lakini hapa wapo wadada ambao wao wameweka wazi ukitaka kuwamega mkatie pesa kiasi fulani basi mchezo umekwisha hawa ati wanaitwa wauza mbunye kosa lao liko wapi? Ni mwanamke gani anayetowa bure? Aje hapa hadharani akanushe hili.

Haya ngoja niwape mifano hai kuna dogo huyu Diamond eti naye kapachikwa jina la malaya!! Jamani tumuogope Mungu huyo Diamond ni maarufu tu hana umalaya wowote, wanawake wote aliodate nao wanahesabika wakati sisi tunaomnyooshe kidole binafsi kwangu hata ukiwajaza kwenye fuso halitoshi labda ulete treni ya Mwakyembe na ukinipa kitabu niwaandike siwezi kuwakumbuka ila huyu mtu maarufu wanawake aliotembea nao kwa 99% wanajurikana hii same applied kwa Wema Sepetu.

Issue iko hivi kuna wanawake hawatoi nyuchi zao kwa mfumo wa kupatana bei lakini wastani wake wa kuliwa na wanaume kwa mwezi anamzidi huyu tunayeamini na kumuita muuza mbunye hii siyo sawa hata kidogo.

Ninajuwa vyema wako wanawake wachache mno very independent lakini ukiwachunguza kwa undani walishaumizwa na wanaume ndio sababu kwakuwa wana cash mwanaume ukikaa na mwanamke kama huyo anakuonesha power of independence woman, anaclear bill na anaweza kukupa cash.

Mimi nawapa moyo sana madada wote wanaotowa ngono kwa mapatano ya cash kwanza siyo wanafki ni wawazi hawana usumbufu na 90% ni wadada ambao wapo kwenye viwango vya kuitwa warembo.

Nihitimishe tu hoja yangu kwa kumtaka mwanaume yeyote anayejiona yeye si malaya ajitokeze hapa na mwanamke yeyote anayesema yeye hauzi anatowa bure pia ajitokeze hapa.

Tanzania bila unafki inawezekana.
Mkuuu hakuna demu mzuaza nyapu, Wanakodisha unatumia,huondoki nayo nawengne waje wakodishe
 
Vp kwa sisi tuliooa na kuanzisha familia mkuu au ndo tumelipia jumla.duuh vimaneno vyako km vina kaukweli.
 
Sijawai kuuza na wala sijawai kufikiria kuuza.......msipende kugeneralize kuwa wanawake wote wanauza
Hii mada ni open discussion na wala haina lengo la kumkwaza yeyote zaidi ya kuweka ukweli wazi.

Trust must be told, huwa unatowa bure? Au huwa unatowa pesa wewe kumpa huyo mtu wako?
 
Back
Top Bottom