sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Mwezangu heri mkono unaotoa kuliko kupokea.Watakufilisi,shauri yako
Mwezangu heri mkono unaotoa kuliko kupokea.Watakufilisi,shauri yako
ushaenda pm kwa mleta thread??Wewe ni mwanaume kweli always mwanaume wa kweli humjali na kumucare baby wake
AhaaaaaaNjoo kwangu
Sinaga utani [emoji23] [emoji23]Ahaaaaaa
Hapo umetoa msaada. Kodi ,sijui gas? unakumbuka mpaka leo, au bado mtoto! uhai unahongwa? wewe huli?Asikwambie MTU..ukimrekebishia mwanamke matatizo yake..akashukuru..huwa najisikia raha Sana..Kama nikimlipia kodi..gas,
Ama kweli.. Kuhonga rahaa
Akikuomba mzazi wako huwa umampa pesa kiasi ganiAsikwambie MTU..ukimrekebishia mwanamke matatizo yake..akashukuru..huwa najisikia raha Sana..Kama nikimlipia kodi..gas,
Ama kweli.. Kuhonga rahaa