Hakuna kitu kinanipa raha Kama nikimuhonga mwanamke

Hakuna kitu kinanipa raha Kama nikimuhonga mwanamke

Msaada kwani mimi ni kituo cha kulea yatima!!!

Ile ni hongo tu maana mwanaume watafuta something in return, as long as i ain't yo' dad...

khaa !we vipi !hv ukimapa mwanamke wako pesa ni dhambi? mbona na nyie tunawapaga tu mkiwa na shida ! hujitambui nadhan
 
Hivi utajisikiaje mwanamke akikataa hongo yako na wewe hiyo hela ndio unataka kuitumia kama siraha
 
Unajipigia kampeni ili ukiwafuata tena inbox wasiwe wanakukaushia, umetumia idea nzuri lakini utawapata
 
Wewe wakusoma unahonga nini sasa?daftari?pen?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hiyo. Atakuwa anahonga ufutio wa penseli.

Promo at work,wasubirie pm wanakuja.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hiyo. Atakuwa anahonga ufutio wa penseli.

Promo at work,wasubirie pm wanakuja.
By now watakuwa wameshajaa huko PM..Wanaenda kuhongwa past papers
 
Back
Top Bottom