Hakuna kitu kinanipa raha Kama nikimuhonga mwanamke

Hakuna kitu kinanipa raha Kama nikimuhonga mwanamke

Kuhongaa kunaniaribia maesabu yangu kweli hizi nyege zisingekuwepo mpaka uziombe ingekuwa poa sana
 
hahaha sipend neno kuhonga jaman !hvi kwann useme unamhonga mwanamke na sio kusema unampa msaada tu ! yeah inatia FARAJA AKIWA NA SHUKURANI
Hakuna faraja hapo kumpa mwanamke pesa au kitu chochote ambae sii ndg yako ,haliakuwa kuna kitu unakitaka kwake ndo maana ukampa,ili iwe rahisi kukipata, HIO NI RUSHWA/ HONGO, kwanini unataka kupoteza uwalisia wakitu HARAMU KUWA HALALI??
 
Asikwambie MTU..ukimrekebishia mwanamke matatizo yake..akashukuru..huwa najisikia raha Sana..Kama nikimlipia kodi..gas,

Ama kweli.. Kuhonga rahaa
raha zaidi ni pale NYUMBA ULIYOMPANGIA kuna dume linalala,,,simu uliyomnunulia kuna dume linatumia na hata pesa unazompa pia kuna dume linapewa. Aisee raha sana....kuhonga...big up mkuu
 
Me ndyo siwez npo radhi nimpe zawad ya elfu hamsi ila kumpa elf tano xwez
 
hahaha sipend neno kuhonga jaman !hvi kwann useme unamhonga mwanamke na sio kusema unampa msaada tu ! yeah inatia FARAJA AKIWA NA SHUKURANI
Msaada kwani mimi ni kituo cha kulea yatima!!!

Ile ni hongo tu maana mwanaume watafuta something in return, as long as i ain't yo' dad...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Nimecheka sana, endeleaaaa kuhongaaa babaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom