Hakuna jipya heslb!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna jipya heslb!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ibrashinto, Sep 7, 2012.

 1. I

  Ibrashinto Senior Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nakesha kwenye website yao lakini sasa hata naingia mala mbili tu kwa siku kabla sijalala na kabla sijatoka kitandani hii inatokana na kuzorota kwa website hii kutokuona HABARI MPYA HASWA NINAZOTEGEMEA KUZIONA hakuna jipya kabisaaaa toka mwezi uanze ni wiki sasa na huu ni mwezi wa kufungua vyuo baadhi ya wanachuo watarajiwa! Eebwa Mungu baba wa majeshi watie mioyo ya huruma hawa Heslb
   
 2. I

  Ibrashinto Senior Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tcu leo ndo deadline cjui watatuambia nin tena
   
Loading...