otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 100
- 135
Hakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje
QueenHakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje
QueenHakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje
Umeshindwa kuomba msaada hata kule gogo, kama hapa umeweza kuandika..??Hakuna jina la kike linaloanzia na herufi "Q" kama lipo litaje
Hili jina la kuku.Qwinyo
MtuHili jina la kuku.
Hapanaa bhanaa...Qocastic
UTOTO WA FB.
Unauleta kwenye Great thinkers....
Shame
Mkuu umefikili kama mimMleta uzi amepata mtoto wa kike anatafuta jina la kumbatiza