Hakuna jet ya kifahari ya billioni 2.4! Ni hivi...

Hakuna jet ya kifahari ya billioni 2.4! Ni hivi...

Hata helicopter ya kawaida hupati kwa vibilioni viwili, itakuwa hiyo Gulf stream!
Helicopter Zipo mkuu zinauzwa USD 300,000 ndo the cheapest inabeba watu wawili ila mrusi mwaka kesho anaanza uza zake ambazo zitakuwa USD 150,0000.
But jet ya mbili mbili hakuna hata ya bils 10 ya vile hakuna bora ingekuuwa ina engine za propeller hapa Ngwajima labda kaikodi hajainunua.
 
Hiyo bilioni 2 hata helicopter tu hupati, itakuwa private jet?
Kwani helicopter bei gani na jet bei gani, huenda ikawa used maana hata gari ya mwaka 1998 inaweza ikauzwa 1,700 USD wakati gari hiyo hiyo ila ya mwaka 1994 ama 1998 ikauzwa 9335 USD though nahisi kwenye ndege huenda taratibu za manunuzi ni tofauti na tulivyozoea
 
Ama ni mkweche wa kufa mtu,... ukipanda hiyo ndege uvae parachuti tayari kuruka wakari wowote, au ni mbinu ya mnunuaji kupunguza kiwango cha hela ili kuepuka kodi au lawama (criticisms) kutoka kwa watu. Ndege kama inayotajwa kanunua Gwajima ni angalau billioni 15 tena hii si ya kisasa. Angalia baadhi hapa Private Jets for Sale | AvBuyer
Typical akili za kimasikini.

Fanya kazi ununue ya kwako. Acha majungu.
 
Mmmhh je kama amepewa punguzo la bei kwa ajili ni Mtumishi Wa mungu......
hawajaliona ilo mambo ya kufikiri nje ya box

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Ngoja nimsikilizie mkuu barafu aje atoe nondo zake hapa, wengine tukiongea tutaonekana tuna wivu!!
 
Typical akili za kimasikini.

Fanya kazi ununue ya kwako. Acha majungu.
Wewen hata wale wezi wa makinikia utasema ni wivu waache wale tu, iba na wewe!!!
  • acha tabia ya kutojali
  • acha kufanya mambo bila ya kufikiri vizuri
  • unaangalia mwisho wa mambo bila kuangalia mchakato wa kufikia mambo hayo, hawa ni watu kama akina Hitler, Machiavelli nk\
  • wewe ni mtu wa ponda mali kufa kwaja
  • angalia kama siyo kweli kwenye maisha yako; wewe hufanyi saving ndiyo maana benki una kiasi kidogo sana, na kila mwisho wa mwezi ndio mwisho wa akiba yako
  • jirekebishe ndugu yangu
 
Ningejali kama Gwajima angekuwa kiongozi au mtumishi wa uma au serikali. Ningeweza kuhoji matumizi ya kodi yangu.

Afterall hujui plan zake zingine, leo kanunua ndege we povu linakutoka.

BE COMPETITOR OF YOURSELF, NOT OTHERS

Fanya kazi upate vya kwako fitna haitakusaidia brother.
 
Binadamu tunamambo!
1. Una baiskeli unaona haikufai bora unatafuta pikipiki.
2.Una pikipiki unaona haitoshi unatafuta salon car
3. Una salon car unaona haikutoshi bora utafute V8
4. Una V8 unaona haikutoshi bora utafute hammer
5. Una hammer unaona haikutoshi bora utafute helkopta
5. Una helkopta unaona haikuyoshi bora utafute jet
Kwa kweli binadamu hatosheki hadi awe maiti ndo anatosheka!
 
Ama ni mkweche wa kufa mtu,... ukipanda hiyo ndege uvae parachuti tayari kuruka wakari wowote, au ni mbinu ya mnunuaji kupunguza kiwango cha hela ili kuepuka kodi au lawama (criticisms) kutoka kwa watu. Ndege kama inayotajwa kanunua Gwajima ni angalau billioni 15 tena hii si ya kisasa. Angalia baadhi hapa Private Jets for Sale | AvBuyer

Hivi AvBuyer ndo mtoaji wa bei elekezi za ndege?mbona wauzaji wako wengi tu na wengine ni watu binafsi?kama kanunua kwa mtu je?

IQ zetu watanzania dah
 
Wajinga nyie!! na mtakufa na mawivu yenu pumbaafu!!

young kilimanjaro
 
Back
Top Bottom