Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
Kumbe jibu unaloMtoto huyu wa kke anaonekana kufanana na huyo bwana! Lakini i was blind for over ten yrs ingawa jambo hili limenitesa. Sasa anasoma sec. na jina la shule silijui! Lakini anadai eti alibadilisha jina kwa hasira tu na sasa amataka turudiane. Inakuja?
Mimi nilidhani mnaishi naye
Tafuta Mwanamke mwingine na uzae naye
ni heri kubaki Mgumba kuliko kubeba mzig usio wako Mwisho wa siku watakukimbia wote (mama na mtoto)
Anataka mrudiane kwani kakuona una vimali na tu-vijisenti
WATAKUMALIZA NDUGU YANGU