Hakuna cha bure kisichokosa gharama

Sasa si walikuwa wana-backup siku computer softwares za AU ziki-fail waweze ku-restore? Au tu kwa sababu server wao yuko Shanghai? Computers zenyewe walipewa bure ndiyo wakome. Waafrika wanapenda sana bure AU wangeweza kununua na kutumia waafrika wenzao kuzifitisha.
 
SHITHOLE COUNTRIES NDO TUNAFANYIWA MAMBO HAYA

Ukikubali kuolewa lazma ukubaliane na bwana wako anavyotaka ulale aseee.


Takes five good years to discover [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Ndo maana wanatiririkia huku.....wanajua vimipango vya walafi wale pale mjengoni....
 
Takes five good years to discover [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

There is nothing to discover.

If you have a computer, a phone, a TV or whatever that is connected to the net, it is always backing your data to somebody, especially USA and China.
 
Secret Agency zote zimegundulika zilikua zinaintercept data hata CIA na M16 sijui kwa vile mchina ndio alietengeneza jengo hadi mada imemuangikia upande wake!!..
 
kwa hiyo unataka kusema hata sisi miradi mikubwa tuliyowapa wachina itakuwa monitored?


cc: mahondaw
 
ndo maana pombe kawatosa sgr!!dah magu bwana kausoma mchezo kudadeki!!
 
Hallafu ndo unaingiza wachina jeshini. Hawa viumbe wabaya na hatari sana kwa afya ya Afrika tusipokuwa na akili tutajikuta wanatuuza kama mishikaki
 
Hiyo ni AU, vipi tanzania ambayo wachina wamejazana kwenye jeshi la JWTZ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…