Hakuna Bongo Huu Mshono wa Nguo

Hakuna Bongo Huu Mshono wa Nguo

dizaina anaeuweza anipm basiiiii huo wa pink....
 
Mama Mdogo wee Matata sana, mimi lazima nifike huko Katavi

Karibu sana kaka, nitamtuma mdogo wangu (picha imeaambatanishwa) aje akupokee atakuleta home. Kumbuka kuja kwetu ni safari ya siku tatu kwa barabara, yaani Dar-Mbeya (siku moja), Mbeya -Sumbawanga (siku moja) na Sumbawanga - Mpanda - Kijijini beach ya ziwa Tanganyika (siku moja).

Utanashati.jpg
 
View attachment 82201
Mama mdogo ​samahani, huyo mdogo wako ana mchumba?
 
Mbona wataka mambo fasta fasta, wewe andamana na Mbuzi Mzee, au uje kivyako, na majibu utayakuta huku huku home.
Duu, sasa mbuzi mzee anakuja kwa ajili ya nini, asije akanizidi kete, hebu tengua safari ya huyu jamaa kusudi nije peke yangu nijihakikishie ushindi.
 
Mmmhhhh, Mbuzi Mzee alinieleza kuwa "Mama Mdogo wee Matata sana, mimi lazima nifike huko Katavi", baadaye kidogo nawe ukaniuliza "Mama mdogo ​samahani, huyo mdogo wako ana mchumba?". Nami nikakuambia mtafute Mbuzi Mzee mje wote au uje kivyako. Hivyo wewe njoo kivyako hata kesho mdogo wangu niliyemtaja hapo juu au huyu mwingine hapa chini atakupokea kwani wana JF wote ni ndugu zangu!!! Kazi ni Kwako!!!

Utanashati 3.jpg
 
View attachment 82211
Siji tena huko katavi nimeghaili, maanake ntakuja kutia aibu, hao wadogo zako nitang'ang'ania niwachukue wote.
 
Back
Top Bottom