Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Nimeupenda huo wa pink.......naenda kushona.......
Una uhakika na usafiri?
Nimeupenda huo wa pink.......naenda kushona.......
Wakubwa wanafaidi jamani!
Na baridi la Arusha?
Siku utakapovaa utuletee picha yake tuione
Hivi bado kuna "kushona" siku hizi?
Una uhakika na usafiri?
Wakubwa wanafaidi jamani!
Kuna joto sana siku hizi........
Aiyaaaaaa, sie wengine moyo wa kutamani ulishakufa ganzi siku nyingiNitapendeza sana........sitaki kukutamanisha.......
Potelea pote.......nina toothpick lakini sitajali saaaaaana......
Nimeupenda huo wa pink.......naenda kushona.......
Taratibu ndugu, shemeji yako huyoHuyo wa kwanza mashalllaaaa! Mtoto mzuri jamani, hata kama mshono unaongezea, but she is cuty.
Wakubwa wanafaidi jamani!
Unaogopa nini...........?