Hakuna Bongo Huu Mshono wa Nguo

napendekeza hii iwe vazi la kike la taifa.
 
Kipande cha juu kama cha nguo ya harusi ya binti machozi vile......
 
Potelea pote.......nina toothpick lakini sitajali saaaaaana......

Hapo sasa, isijekuwa kama bendera iliyotundikwa kwenye nondo ya 10mm!

Ila haina neno kama wewe hutakambia mitaani kuwakwepa wale wadau wa vijiweni!
 
Mshono mzuri ingawa na urembo umechangia
 
Mbuzi Mzee, mshono huu upo hapa kwetu Katavi. Hakuna Bongo Huu Mshono wa Nguo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…