Laana ipo baraka ipo na karma ipoWatu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.
Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,
Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Mungu yupo, shetani sijui ila uchawi hakunaHakuna Mungu.
Hakuna Shetani.
Hakuna Uchawi.
Kusema hakuna Mungu, hakuna Shetani wala uchawi si uthibitisho kwamba havipo; ni msimamo wako kuhusu uwepo wao. Vivyo hivyo, kuamini kwamba vipo hakuthibitishi moja kwa moja kwamba vipo. Hoja si nani anachoamini, bali ni ushahidi gani unaounga mkono anachokiamini.Hakuna Mungu.
Hakuna Shetani.
Hakuna Uchawi.
Wazungu walioua mababu zetu utumwani hiyo karma imewafanya nini?Yah ni kweli hakuna laana wala karma,Unahisi ukifanya mabaya hakuna mahali utalipa?kirahisi tu inaishia hivyo kwamba umeua mtu hujaonekana hakuna athari yoyote?
kama amewahi kusikia basi kuna possibility ya kuwepoInamaanisha alishaisikia sehemu hivyo anajaribu ku-negiate kile ambacho alisikia kikiwa kinafundishwa au hata alipokisoma.
Yupo huko kwenye mawazo yako ya kufikirika.Mungu yupo, shetani sijui ila uchawi hakuna
Hujui leo holiday 🤣🤣Mkuu kwani kwa siku huwa una wastani wa kuandika nyuzi ngapi humu?
Mbona wazungu wakoloni waarabu waliwatesa wazee wetu na kuwaua mbona hawapati karma ndo kwanza mataifa yao ndo yanazidi kuendelea kutuzidi...Yah ni kweli hakuna laana wala karma,Unahisi ukifanya mabaya hakuna mahali utalipa?kirahisi tu inaishia hivyo kwamba umeua mtu hujaonekana hakuna athari yoyote?
Hakuna Mungu, Hakuna Shetani, Hakuna Uchawi.Kusema hakuna Mungu, hakuna Shetani wala uchawi si uthibitisho kwamba havipo; ni msimamo wako kuhusu uwepo wao. Vivyo hivyo, kuamini kwamba vipo hakuthibitishi moja kwa moja kwamba vipo. Hoja si nani anachoamini, bali ni ushahidi gani unaounga mkono anachokiamini.
hadithi za sungura na maada zinahusiana vipi?Kwani hadithi za Sungura wanaoongea zilitoka wapi ??
🤣🤣🤣🤣🤣aiseeehadithi za sungura na maada zinahusiana vipi?
mtu wa mwilini hawezi kutambua ya rohon maana kwake ni upuuzi tu.Yupo huko kwenye mawazo yako ya kufikirika.
Kiuhalisia hayupo na wala huwezi kuthibitisha yupo.
Hakuna Mungu, Hakuna shetani hakuna uchawi.
Hakuna baraka, hakuna laana. Hakuna karma.
Sawa umesema hakuna karma wala laana bila supportive references. Unataka tuamini au tusome tu nakupita hivi?Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.
Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,
Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
Hata hiyo roho haipo.mtu wa mwilini hawezi kutambua ya rohon maana kwake ni upuuzi tu.
ok.Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma.
Kiuhalisia;
Hakuna baraka,
Hakuna laana,
Hakuna karma,
Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.