Hakuna atakayefungwa kisa madawa ya kulevya

Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
Kwahiyo Makonda yeye "his bark is worse than his bite"?
 
Hii ni porojo urojo lete sheria hapa uzungumze
 
Hii ndiyo Tanzania
Hakuna jambo linaloungwa mkono!
Tumezoea kulaumu tu.
Kwa waliosoma mambo ya kivita, objective hufikiwa kwa series ya battles na engagements mbalimbali. Hadi uzishinde hizo ndiyo utaifikia objective yako. Kwa maana nyingine ndiyo utashinda vita.
Kwa wanaojua campaign planning kuifikia centre of gravity ni lazima kufanya analysis ya branches na sequels ambapo unaanza na hivyo vinavyoitwa vidagaa.
Huwezi kumfikia muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya bila kujua mbinu anazotumia kuwafikia wateja wake. Kwa hiyo kama muuzaji ndiye objective ni vyema kuanza na watumiaji na wasambazaji wadogo.
Naamini approach ya RC ni sahihi kabisa kama kila mtu atahusika katika vita hii. Tatizo letu ni kuwa tulio wengi siyo wabunifu na mwingine akibuni tunakimbilia kutoa matokeo kama vile tunajua hadi kuamua kufanya hivyo amejiandaa na amefanya research kiasi gani. Tubadilike ili tutokomeze madawa ya kulevya.
 
Maigizo yanaendelea...
gz9.jpg
Namuona papaa mchengere anagonga pilau
 
Tatizo sio kutajwa, mbona tuliambiwa kuna majina tayari?Hatua gani zimechukuliwa?
Ila tambua aliesema Kuna majina ni Jk, huyu wa sasa ni Makonda nae kapata majina yake na ndiyo kaanza nayo. Stay tuned kusikiliza majina mengi zaidi kesho na kamata kamata ya hali ya juu
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
Nakubali maneno yako lakini tungempa nguvu kwanza kabla ya kumsema vibaya. Wewe ukisafisha uwanja wako je unamwambia jirani asafishe wake au unamsaidia kusafisha wake au unaachana nae atajua mwenyewe jibu kama ataona kwako kusafi ataona haya na yeye atasafisha pia hata kama utamshauri asafishe kwake sio mbaya.
 
Watu wanadhani madawa ya kulevya ni viroba kila mmoja anaweza kufanya hiyo biashara.

Wanaouza haya madawa wanapesa ndefu huwezi kumpa askari anaelipwa laki nne kumfatilia lazima utafute watu wasio na akili timamu (ambao hawajui kitu RUSHWA wapambane na hawa watu hata kwa kulipwa pesa zaidi ili mradi tu hawa watu watiwe mbaroni bila kujalisha ni mbuge, waziri,mfanyabiashara au cheo chake.

Watafutwe watu wapewe kiapo cha kupambana na hawa wauzaji sio watumiaji.

"Hapa ndipo natamani ningekuwa IGP nahisi ningetoka madarakani napitia ICC kula kifungo "
Hivi kwa mfano unasema wale wanapesa ndefu watafutwe watu wenye akili timamu wapewe pesa wapambane. Hivi Rais wa Ufilipino analipwa na nani mbona anapambana na hii hali mwenyewe mwenyewe?
 
Mimi siku akiisambaratisha kona bar na wale akina dada wanaouza sukari ya mwili ndiyo nitamuona amefaulu hii vita ya ngada si ya kitoto yaani inahitaji watu wakeshe kwelikweli
 
Siku akifungwa mtu mi natembea uchi uku nakunya
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
Nimekuelewa vzuri sana, mana nimeshangaa wale magwiji wa unga ambao walitajwa na kuitwa Polisi tupo nao mtaani
 
Back
Top Bottom