bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,713
Ila ccm matapeli jamani..!Joka wa Makengeza hapo hali kabisa kashika apige picha anawe mikono
Ila ccm matapeli jamani..!Joka wa Makengeza hapo hali kabisa kashika apige picha anawe mikono
Sio siasa true drug dealers are at large drinking parting and celebrating....Acha siasa na kukatisha tamaa watu wafanya biashara vyama mbalimba, dini zote hapa nikuungana kama taifa kupambana zidi ya hii biashara
Nahisi mpaka sasa umeshaelewa aliyekuwa anafanya siasa ni nani.Acha siasa na kukatisha tamaa watu wafanya biashara vyama mbalimba, dini zote hapa nikuungana kama taifa kupambana zidi ya hii biashara