Hakuna atakayefungwa kisa madawa ya kulevya

We mleta mada hjui unachosema kwa taarifa yako mkwala wa makonda ule kuna wauzaji wengi wamekimbiaaa ......usipende kulopoka vitu usivyovijua ....ni kweli biashara hii ni ngumu kupambana nayo lkn Lazima wauzaji nawasambazaji wabanwe isifike wakati Mtu anauza madawa ya kulevya utafikiri Ana kibali
Acha kulalamika Toa ushirikiano au pambana na wee jinsi unavyoweza

Ova
Kumbuka huu mkwala kwa upande wa pili unaweza kuwa na faida kwa wauzaji. Watapandisha bei na watapata faida maradufu.
 
Chidi Benzi (bajaj) ndio atasaidia kuvunja biashara ya unga?
Come on,give me a brake!
Comedians
Maigizo yanaendelea...
gz9.jpg
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.

Ila watu mmejaliwa kupinga kila jambo. Sasa Makonda yy Si kajitosa kufungua mlango? Wakuu wa mikoa wengine ndiyo waige. Mpongeze Japo kwa hili.

Upande wangu mm namuombea kila la Heri ktk hili.
 
Mleta mada unaonekana unachuki binafsi na Makonda na hakuna analoweza kufanya ukaliona lamaana

Makonda anashughuliKia mambo ya mkoa wake na ndio majukumu yake sasa ukisema anakosa uhalali kwakuwa hajausisha mikoa mingine nadhani si sahihi sana

Kuhusu kufungwa mtu unapaswa kujua Makonda sio hakimu wala hasimamii kesi mahakamani
 
Kumbuka huu mkwala kwa upande wa pili unaweza kuwa na faida kwa wauzaji. Watapandisha bei na watapata faida maradufu.
Makonda is genius in this, tutegemee matokeo chanya. Vitagaa vitakamuliwa pale central na vitataja mapapa wote ,trust me
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
umenena, ni kitu coordination tu, wacha tuone
 
Kinachompa sifa makonda kwenye hili si kingine Bali ni uthubutu. Hayo mambo yako ya mbwa sijui nini ni mbwembwe za andiko lako. Lakini hebu nambie tangu Enzi za baba wa Taifa Nani alisjawaho kuthubutu kutaja hata dagaa wa dawa za kulevya tuache longolongo tumpe ushirikiano
 
  • Thanks
Reactions: MJJ

Inawezakana ukawa mganga mzr wa kienyeji, nasubiri utabiri wako utimie nami nije ukaniague.
 
Ungetoa na wazo sasa afanyaje ili nawewe uridhike
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
Sema wewe bro wengine tumisema labda hatueleweki
 
Mtoa mada na wewe unauza "unga" kwa kauli zako hizo nadhani na wewe ni miongoni mwao
 
Mnapinga kila kitu,inawezekana hata mama yako kuna siku utasema si mama yako. Wakuu wa mikoa mingine kawaambie mwenyewe, makonda endelea kuwafichua
 
=======================================

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Sina muda kujadili upuuzi huu kuhusu Ridhiwani &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Rais Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu madai kuwa yeye Rais alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ambaye alikuwa amekamatwa na madawa ya kulevya nje ya nchi.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Urais ni taasisi kubwa sana nchini na hivyo yeye akiwa Rais hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mtaani, kama ambavyo wanataka baadhi ya watu wanamsukuma ili ashiriki katika maneno hayo ya mitaani.

"This is nonsense &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; ni mkusanyiko wa upuuzi. Sina muda wala siwezi kupoteza nguvu yangu kujadili upuuzi na ujinga wa namna hiyo," amesema Rais Kikwete usiku wa Jumamosi, Agosti 2, 2014, wakati alipozungumza na Watanzania wanaoishi katika Marekani kwenye Hoteli ya Marriot Washington, mjini Washington D.C.

Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi ya siku tisa katika Marekani alitoa majibu hayo baada ya kuwa ameulizwa kuhusu madai yaliyotolewa Julai Mosi, mwaka juzi, 2012 na Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA, Wilbroad Slaa, madai hayo yamempeleka mahakamani.

Amesema Rais Kikwete: "Hatuwezi sisi kujiingiza katika shughuli ya kupoteza muda kwa kushiriki upuuzi na ujinga. Haya ni maneno ya kipuuzi yanayosemwa na watu ambao kazi yao usiku na mchana ni kuota jinsi ya kuyumbisha ajenda yetu ambayo imefanikiwa sana katika kubadilisha hali ya maisha ya Watanzania.'

Amesisitiza Rais Kikwete: "Urais ni taasisi kubwa sana. Rais wa nchi yetu hawezi kujiingiza katika ubishani na watu wa mitaani. Kwanza huyo Ridhiwani amemfikisha Slaa kortini na mpaka leo hata kesi yenyewe haijatajwa."

Kuhusu swali jingine aliloulizwa kuhusu suala hilo, kuwa Rais Kikwete alitia saini mikataba 12 na uongozi wa Jamhuri ya Watu wa China kama sehemu ya masharti ya kuachiwa kwa Ridhiwani, Rais Kikwete amesema:

"Naipenda nchi yangu kiasi cha kwamba siwezi kufikiria hata kuiweka rehani. Haya ni maneno ya kipuuzi tu, yenye kutafuta kututoa kwenye ajenda zetu nzuri. Hatuna muda nayo, sisi tunaelekeza nguvu zetu kwenye mambo ya maana ya kuleta mabadikio katika ustawi wa Watanzania."

Imetolewa na;
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Dar es Salaam.
04 Agosti, 2014

Swissme
 
Kinachompa sifa makonda kwenye hili si kingine Bali ni uthubutu. Hayo mambo yako ya mbwa sijui nini ni mbwembwe za andiko lako. Lakini hebu nambie tangu Enzi za baba wa Taifa Nani alisjawaho kuthubutu kutaja hata dagaa wa dawa za kulevya tuache longolongo tumpe ushirikiano
Bado tunajadili shule zilizoshika mkia.
 
Kwangu nina mbwa namwita Blackjack. Blackjack huwa ni mkali kweli. Yana tukimfungulia akibweka mpaka mbwa za majirani zinapata hofu. Ila huyu blackjack anatabia ya kukimbiza magari. Yani gari likikatiza mbele ya nyumba yani lazima alibwekee na kulikimbiza lakini halikamati. Huwa najiuliza hivi siku akilikamata atalifanyaje! Naomba niende kwenye mada husika sasa.

Makonda ni mmoja wa wakuu wa mikoa anayependa umaarufu wa hari ya ajabu sikuwai ona. Media zisipo mzungumzia yeye hajisikii raha kabisa.

Hili sakata la madawa ya kulevya ni moja ya zile zingaombwe zake za kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku hakutakuwa na action yoyote itakayochukuliwa.

Ni kama kile kipindi cha sukari alivyokuwa anakurupua vigogo ila mwisho wa siku hakufanya lolote. Hivyo hivyo kwa mashoga na wavuta shisha.

Vita vya madawa ya kurevya Tanzania sio kwa mkoa momoja tu hapa Tanzania. Haya madawa hayauzwi Dar pekee. Huwezi thibiti madawa ya kulevya dar wakati mikoa ya jirani kama Morogoro bado yanatumika.

Kama kweli makonda anania ya kuthibiti madawa ya kulevya angeshirikiana na wakuu wa mikoa wote ili kuweza kupambana na hili janga. Hii ni danganya toto ya mtu mmoja kujitaftia umaarufu lakini mwisho wa siku atafail tu. Atakurupua watu lakini siku ya mwisho no action will be taken n business as usual.

Mtandao wa madawa ya kulevya Tanzania hauwezi kuthibitiwa na RC tena kada wa CCM hata siku moja.
Hivi hao wasanii wameachiwa au wamewekwa ndani
 
Back
Top Bottom