Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
;

Mlisema ripoti haisomwi na imesomwa. Hoja ni ufisadi wa bilioni 300. Kama hilo hulioni nenda Wodi namba 3 BMC. Muhimbili hakuna dawa wewe unfurahia mgao wa Escrow. Akili huna.

Sijawahi kusema kuwa ripoti haisomwi, kama uliona mahala nimesema hilo, leta ushahidi.

Nilikuwa nasisitiza siku zote ripoti rasmi itoke na tuione, ingawa mpaka sasa sijaiona yote kamili na vielelezo, nimeisikia na kwa niliyoyasikia naona haina mshiko, ni ufataani tu.
 
Tumbili amekuwa mnyama wa hatari sana ndani ya mbuga za wanyama, Tembo naye katimua mbio,
 
Huna ladha
 
FF mbona huzungumzii pesa watu walizopewa ni za nini? Unaridhika na watu kuchotewa mapesa yote hayo?

-Unasema tutajua Chenge ni kichwa, una nmaana kichwa kipi? cha juu au cha chini?
 
Kumbe unalinganisha na uliyoyasikia na siyo na ripoti ya PAC..... !!!?? Haya endelea..
 
FF mbona huzungumzii pesa watu walizopewa ni za nini? Unaridhika na watu kuchotewa mapesa yote hayo?

-Unasema tutajua Chenge ni kichwa, una nmaana kichwa kipi? cha juu au cha chini?

Pesa watu walizopewa wamepewa na JL, JL ni mmiliki halali wa IPTL na kauza shares zake kihalali na ana haki ya kuzitumia fedha zake atakavyo.
 
unatapatapa wewe hatufanyi kazi kwa mazoea wa sheria, wasipojitoa watatolewa wezi wakubwa ninyi, umetumwa kujakupima upepo hapa?
 
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
Poor comment, sidhani kama umeielewa report vizuri, nakuonea huruma maana kilichosomwa ni kudhihirisha wizi uliofanyika waziwazi hata mtu asie na akili hawezi kuuliza.
 
unatapatapa wewe hatufanyi kazi kwa mazoea wa sheria, wasipojitoa watatolewa wezi wakubwa ninyi, umetumwa kujakupima upepo hapa?

Sasa naona hauna hoja na unaanza kuhororoja na kubwabwaja, njoo na hoja. Au wewe ni katika wale bavichaa?
 
Poor comment, sidhani kama umeielewa report vizuri, nakuonea huruma maana kilichosomwa ni kudhihirisha wizi uliofanyika waziwazi hata mtu asie na akili hawezi kuuliza.

Hakuna wizi uliofanyika, nnachoona kuna fitna tu zinazofanyika.
 
Hadi jana ulikomaa kwamba Report haiwasilishwi leo,
haya imewasilishwa, unapambana na mapendekezo ya kamati!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…