Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,098
- 10,444
Kuchwe mara ngapi mzee wangu!?Ngoja kuchwe
Kuchwe mara ngapi mzee wangu!?Ngoja kuchwe
Kikawaida ipi hiyo unayosemaKujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
😂😂😂😂😂😂Uko wapi ?
Maana hapa minaki (kisarawe ) wamejazana na mitutu yao wanawazuia watu wanao enda kuwaona wagonjwa wao hospitali.
Na wana wapiga boda boda bakora mbwa hawa.
Matokeo mtaona ICCWahenga hamtaki kabisa kukubali matokeo. Mpo nyuma ya keyboard, kazi kuwasakazia/kuwashawishi Gen Z/vijana waingie front kuhatarisha maisha yao.
Tutafika tuVile vile huu ni ushindi, ni hatua 100 mbele!
Mimi nilishasema siwezi andamana.Ninaishi vizuri.Watoto wangu wapo shule nzuri. Ninafanya kazi.Siwezi pushiwa na Mange au Maria.Maria hana watoto,Mange hana wazazi,kazi hana anamtegemea mme wake.Sasa mimi ambae ndo mboni ya familia nikaandamane for what. Afterall nipo vizuri tu.Millenian mimi nilizaliwa kipindi amabcho ukimaliza chuo kikuu kazi kumwaga kabisa.Punguza unafki.
Maandamano yako wewe na nani wakati unayapinga?
Wewe kimekuzuia nini kuwa mstari wa mbele?
Unafki tu ndo unachoweza.
😂😂😂😂😂Kama hakuna aliebeba bunduki toka nenda kafanye ule unyumbu wenu wa kuiba na kuharibu mali za watu
Sasa usitupangie tuandamane vipi.Mimi nilishasema siwezi andamana.Ninaishi vizuri.Watoto wangu wapo shule nzuri. Ninafanya kazi.Siwezi pushiwa na Mange au Maria.Maria hana watoto,Mange hana wazazi,kazi hana anamtegemea mme wake.Sasa mimi ambae ndo mboni ya familia nikaandamane for what. Afterall nipo vizuri tu.Millenian mimi nilizaliwa kipindi amabcho ukimaliza chuo kikuu kazi kumwaga kabisa.
Umeporwa uchaguzi ambao hukushiriki?Nimetoka na hotpot kama napeleka chakula cha mgonjwa hospitali. Kitu cha kwanza ni weka mzigo chini, toa kitambulisho. Wamenikagua mifukoni sana na mgongoni. Hawa kwa jinsi walivyo na silaha ni sisi kupata silaha pia. Na haya maandamano hata kesho inabidi tusisitize yapo. Yaani lockdown iwe ya muda mrefu. Hapo kila mmoja atasikia maumivu yake.
Hao walioko nje ni haki yao kuongea, lakini wanaotekwa na kufirwa ni tuliopo nchini. Tunaoporwa uchaguzi ni sisi. Usitake kupotosha kuwa ni msukumo wa hao wa nje, kama wao ndio msukumo kuwa wanalipwa hela, serekali iwape hela ili wapush tuikubali serekali hii ya majizi.
Nishiriki kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshapangwa.Umeporwa uchaguzi ambao hukushiriki?
Hamuwezi ishinda CCM, wenzenu Wana matawi hadi vijijini, nyinyi ofisi za chama mijini chumba kimoja kama store ya mkaaNishiriki kwenye uchaguzi ambao tayari mshindi ameshapangwa.
Una akili sana , hata vitani spirit inakuwa kubwa General akiwa mstari wa mbele vitaniKujifariji.Hivi tuseme ukweli maandamano yetu Tanzania ni shaghala bagala.Wanaopush wote wapo nje ya nchi.Kikawaida wanaopush wanatakiwa wawe mstari wa mbele,on the field.
Hamuwezi ishinda CCM, wenzenu Wana matawi hadi vijijini, nyinyi ofisi za chama mijini chumba kimoja kama store ya mkaa
Chadema kipo tangu 1992,ni TAL ndiye aliyeiongoza chadema kususia uchaguziSawa kifungulieni CHADEMA, muachieni TAL nyinyi si mnamatawi mpaka vyooni
Nani anatazama matawi siku hiz, labda wazee. Kama mngekuwa na uwezo wa kushinda kihalali msingefanya huu upuuzi. Zama hizi za digital, ofisi zimebaki ni za kufanyia majungu, ushirikina na kushinda majobless. Kizazi kimebadilika mmebaki na mitazamo outdated.Hamuwezi ishinda CCM, wenzenu Wana matawi hadi vijijini, nyinyi ofisi za chama mijini chumba kimoja kama store ya mkaa
Pole sana, hujui hata umuhimu wa tawi,na unaamini watz wote wapo mitandaoniNani anatazama matawi siku hiz, labda wazee. Kama mngekuwa na uwezo wa kushinda kihalali msingefanya huu upuuzi. Zama hizi za digital, ofisi zimebaki ni za kufanyia majungu, ushirikina na kushinda majobless. Kizazi kimebadilika mmebaki na mitazamo outdated.