albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,000
- 3,395
Mkuu ulikua kwenye kichwa changu kabisaaa naona RASMI CHADEMA inazikwa mwaka huu kwa mipango mibovu na ujinga wa kiharakati ukiemda kwa page za X za Hilda na Maria utagundua wameanza kupigwa spanaNo strategies,no solutions. Yaani Maria na Mange hawana akili. Na leo ndo mwisho wa Chadema.
Maria anablok kila aliyetofauti nae kujifariji .... Hakuna hata mmoja aliekua akihamasisha saa moja asubuhi kajirekodi hata nje ya nyumba yake akioiga mswaki.. wote hawapo ngoja ilie risasi moja uone watakavyolipuka mitandaoni.